Wachagga tuna bahati mbaya sana. Sijui tumemkosea nini Mungu.......Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!
Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati
Labda wachaga sio born again.mnapenda dumisha milaWachagga tuna bahati mbaya sana. Sijui tumemkosea nini Mungu.......
Huyo mtu aliyezaliwa tena,(born again) alikuwa amekufa?
Wachagga tuna bahati mbaya sana. Sijui tumemkosea nini Mungu.......

Unaweza kuwa mama mchungaji?
Have u tried 'PUSH'?
Pray
Until
Something
Happens
Hapa utapeliwa tu, achana na hizo gredi ulizojiwekea na uwape nafasi vijana single unaosali nao. Kama ODM hapo ni mzungu, anakuzingua kuwa yeye ni mchaga!
Unaweza kuwa mama mchungaji?
Kuumbeeeeee hayakuwa mama mchungaji ni wito,nimeshndwa kupm sijafikisha post 5,ningependa mtu ajieleze vzr nikivutiwa na maelezo yake ntampa e-mail yangu
Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo: