I need a born again husband

Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!

Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati

Ninawasiwasi kama kweli umeokoka. Naweza kukusaidia ktk hili , ukipeda tuwasiliane.
 
nyafe please mwache mungu afanye usijichoshe tafadhali ewe mwambie tu.
 
unachokisema ni kwel lkn hata Mungu alisema bisha ufunguliwe, mwache atafute sema awe makn tu asije juta baadae. Wenye sifa tupo ni pm tuongee vzri.
 
Du! cjui unaimani gani ktk dini ila MUNGU hayuko hivyo mi ni muha lakin ckubalian nawe unapowatenga wachaga,4 more pm me
 
Mke mwema hutoka kwa bwana. Unapaswa kumwomba mungu akupe wa kufanana na wewe. Huku kwenye mitandao utapata mambo ya ajabu.
 
Nenda tafuta movie inaitwa "too saved" itakusaidia ufanye maombi na kuwa na matamanio yaliyo sawa.
 
Mbona umeondoa wachaga bila kuweka kabila lako na wewe.mambo ya ukabila haya unaleta.
 
kwanza kitendo cha kuwatenga wachaga tu hufai kuwa mke bora na mlokole, pili mke au mme mwema hutoka kwa mungu na wals sio mitandaoni
 
Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!

Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati

mcheki profr naye anatafuta mwenye sifa kama zako nadhan mtaendana, na sifa unazotaka baadhi anazo.
 
We unaishi wapi, na kama upo serious kweli vema lakini kumbuka kama wewe kweli ni mcha mungu ni lazima useme kweli kwani MUNGU hadhihakiwi na yeye ni MUNGU wa rehema na vilevile ni mwenye hasira.kwa ufupi mimi nakufaa but kwanza lazima tuongee na ikibidi tuonae kwa mazungumzo zaidi. mi nko serious na Mungu akubariki "Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna Jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo" AMEN

Wizi mtupu!!! Fisi ktk ngozi ya kondoo!
 
Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!

Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati

Walokole huwa wanaambiwa wamechanganyikiwa kwasababu ya watu kama wewe!
 
Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!

Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati

Kaongeze elimu then unitafute
OTIS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom