I Miss U Mwanajamii1...

mi watu wananiboa kweli,wakitoka Loliondo ndo wanasema,wakiwa wanaenda kimya.....!!! mtu anayeenda plz anijulishe.....hamtaki kuwa na mimi hapa kwa muda mrefu zaidi?? Muhosni and Keren....please,lets go!!!
 
mi watu wananiboa kweli,wakitoka Loliondo ndo wanasema,wakiwa wanaenda kimya.....!!! mtu anayeenda plz anijulishe.....hamtaki kuwa na mimi hapa kwa muda mrefu zaidi??

Hahahahah,nimecheka kweli.unataka kwenda eeeh!

pls mwenye taarifa za mwanajamii1 anijulishe tafadhali,au nae kaenda Loliondo??
 
mi watu wananiboa kweli,wakitoka Loliondo ndo wanasema,wakiwa wanaenda kimya.....!!! mtu anayeenda plz anijulishe.....hamtaki kuwa na mimi hapa kwa muda mrefu zaidi?? Muhosni and Keren....please,lets go!!!

Lets go dear, Muhosni, we are ready...........:plane:
 
mi watu wananiboa kweli,wakitoka Loliondo ndo wanasema,wakiwa wanaenda kimya.....!!! mtu anayeenda plz anijulishe.....hamtaki kuwa na mimi hapa kwa muda mrefu zaidi?? Muhosni and Keren....please,lets go!!!

Nimesikia jamaa ameshatia maji, amegeuka kibiashara zaidi
 
He he hee...kama anafanya usanii,itagharimu wengi.kakobe nae anamuhofia,mambo ya kiroho yanaingiliwa na mfumo wa kibepari.Duh!

Yaani nimejifunza,watanzania hawana matumaini,hadi ikitokea au kusemwa chochote kinafuatwa desparately without logic or faith.Hii inaweza toa majibu muhimu sana kwenye research
 
Unategemea nini wakati sayansi na teknolojia tumeitupa
 
da sophy jamani! ludi jamani. mwenzio nimeanza kunyonyoka nywele za kwapa kwa kukumiss.
da sophy utaniuwa jamani halaf mazikoni usihuzurie
 
Back
Top Bottom