I Miss U Mwanajamii1...

Hivi kumbe ukinywa huathiriki tena?? nitashikika kweli baada ya hii dawa? Kloro take me there nimechoka hizi ARV aiseee!!!
ulikuwa haujui? fanya fasta dada, babu kasema karibuni communication yake na god itaexpire. ningekupitia lakini wiki hii nina mapress conference ya kumpigia debe mshkaji atoke kimaisha. chukua taxi halaf nitumie invoice nitakamilisha malipo.
 
shalobaro wewe akili zimehamia huko chini....kule taxi hazifiki.....nitumie Range au VX basi?? kama huwezi sema,sipendi kuzungushwa....:decision:
 
He heeee,Michelle u r funny

:decision::decision:
 
shalobaro wewe akili zimehamia huko chini....kule taxi hazifiki.....nitumie Range au VX basi?? kama huwezi sema,sipendi kuzungushwa....:decision:
hehehe basi kaa tayari halaf nikikupitia ukuwe na night dress tu sababu yule babu ukivaa maguo mazito dawa zinakuwa worthless. na vilipustiki usisahau (hii ni kwa mujibu wa babu sio mimi, mimi napinga sana wanawake kuonekana body language zao ovyo ovyo)
 
Lakini jamani nyie wakazi wa arusha mnashindwa kukodi boza mkachukue hayo maji mje kuuza? Ujasiriamali bana

Ushauri gani huo?Acha babu agawe mwenyewe maana ikitoka kwa mtu wa pili haifanyi kazi!
 
lile babu sasa hivi likisema ligombee urais, slaa na kikwete watapewa kura na wake zao tu. huyo lipumba mwenyewe kura yake atampa babu.
 
Ha hahahhahah,watu humu.....inawezekana,maanke hii ride ni kali mzee!
 
mkuu ni balaa! usishangae siku hizi wakati mnatoana jasho na waifu wako ukaskia anascream baabu! loliondo! baabu. khaaa kimelipuka!
 
ahahhahahhahh......guy,u r too much...tuombe Mungu tu awe ameshukiwa na Holy soirit
 
shalobaro wewe akili zimehamia huko chini....kule taxi hazifiki.....nitumie Range au VX basi?? kama huwezi sema,sipendi kuzungushwa....:decision:

du! Mi nilikumiss ila kwakuwa nimegundua unapenda vitu vya bei kali nipe muda....ila usinisahau.
 
Back
Top Bottom