I Miss U Mwanajamii1...

Mi nakulazimisha kujibu maswali yote au nikufelishe mtihani!

Hahahaaa
Nitayajibu kwenye new thread . . . . Coming very soon.
Halafu kumbe tupo kwenye national exams? Nilifikiri ni mocks.....uwe unasema bana
 
Ben
Watz up dia?
Haya nambie unanipeleka Loliondo??
Naanza kukausha nyama ..................................
 
Ben
Watz up dia?
Haya nambie unanipeleka Loliondo??
Naanza kukausha nyama ..................................

Sweet 16....i misssed you,

please convince Ben to take us to Loliondo,

he will...oh yes we will be there....l.o.l
 
naona una nafuu....vipi babu anasemaje?? pole sana Kloro,tuko hapa na Ben tunam miss Mwanajamiione
hehehe hatuna haja ya kutumia kinga tena. nimeludi loliondo na mambo ni mswano kabisa. amenipa vikombe viwili kimoja ni cha kinga. sasa hata nikiwanywa HIV kama supu siasiriki. babu na asifiwe . aaaaaaaaaamen
 
Ben
Watz up dia?
Haya nambie unanipeleka Loliondo??
Naanza kukausha nyama ..................................

Oh yes!

Nitakupeleka,u know i can do anything for you...
I thot ulikuwa Umeenda Loliondo,teh teh teh
 
hehehe hatuna haja ya kutumia kinga tena. nimeludi loliondo na mambo ni mswano kabisa. amenipa vikombe viwili kimoja ni cha kinga. sasa hata nikiwanywa HIV kama supu siasiriki. babu na asifiwe . aaaaaaaaaamen

Hivi kumbe ukinywa huathiriki tena?? nitashikika kweli baada ya hii dawa? Kloro take me there nimechoka hizi ARV aiseee!!!
 
Back
Top Bottom