I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

hivi machungu ya kuvunjwa moyo yanahusianaje na umri?
kwamba umri ukienda husikii maumivu kama vile ulivokuwa na umri mdogo?
 
si umeona eeh!!
wacha twende hivyo hivyo tu tutafika....
mi ndo maana napenda kumalizana hapa live and in the open air, longolongo si nzuri asilani!

Wewe kata ishu tu, vijembe vya mtu wa tatu unaachana navyo.

Waswahili wanasema "kugombana na mtu kutaka" hagombani mtu mwaka huu

Halo halooooo

**Leo nipo kimwambao zaidi
 
  • Thanks
Reactions: bht
ndio umedare to talk openly kwenye jina langu pia?

btw: EXG has the same rights that you and me have here...talk openly!
si najibu pale ulipo niquote post 48 au
 
wewe kata ishu tu, vijembe vya mtu wa tatu unaachana navyo.

Waswahili wanasema "kugombana na mtu kutaka" hagombani mtu mwaka huu

halo halooooo

**leo nipo kimwambao zaidi

bwa hahaa!!!! Bwahaaa!!!! Bwahaahahaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe kata ishu tu, vijembe vya mtu wa tatu unaachana navyo.

Waswahili wanasema "kugombana na mtu kutaka" hagombani mtu mwaka huu

Halo halooooo

**Leo nipo kimwambao zaidi

lol....sijui ndo Eid El Fitr yaillah toba
 
huyu kaingia leo sidhani kama kaingia jukwaa la utambuzi

Join Date : 2nd September 2011
Posts : 1

Rep Power : 0
 
si najibu pale ulipo niquote post 48 au

post #48 ndo hii

usiniambie ndo mpango mzima? wewe una king'amuzi cha kugundua ni ID ya nani au inabaki kudhania tu kama akawida?

sijui inahusiana vipi na hii ya hapa chini....(kama bado huelewi....never mind, tusongeshe jioni yetu haste haste bibie)

Sijataja jina ni maoni yangu tu, si unajua hapa we dare to talk tunavojisikia? au waonaje bahati
 
yaani anaweka item ambayo haiko 'so blind' halafu anachomekezea na "unajijua nani".....huo kama si uchokozi ni nini sasa?

Mtashtiti sana huyu gaijin!!!

tashtiti????
Unanikumbusha marehemu mama yangu mkubwa
ndo neno lake....
Na wewe kiswahili hakijakuacha naona..
 
Heee bwana mkubwa kicheko hicho! Vitatu kwa mpigo!

Nakuongezea hichi "khe khe he hee" courtesy of Kibunango

Ila hakijatokea kama cha yule mwenyewe....na simuoni tena siku hizi sijui kapotelea wapi.
 
Back
Top Bottom