Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,609
Tukiacha utamaduni huu uendelee
wa watu kutongozana halafu kuja kuanzishiana threads hapa...
Tutadharaulika waliokuwemo na wasiokuwepo.........
Ukitongoza au kutongozwa yaishie huko huko pm
Sasa huku ni kuingilia uhuru wa watu binafsi. Kwa nini mtu asitoe dukuduku lake hapa kama anaona inafaa kufanya hivyo? I see absolutely nothing wrong with it.