I decided not to kill you

zahaki

Member
Nov 10, 2013
35
25
Wakuu! Hodi hapa, nimekuwa msomaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu sasa almost 4 years bila kuandika chochote.
Tushauriane kwenye hili.

Nilikutana na dada mmoja kama miaka mitatu hivi iliyopita, wakati nakutana nae alikuwa anasoma mwaka wa 3 SAUTI- Mwanza (kuna uwezekano akawa member hapa ila sijui anatumia ID gani). Sasa huyu dada alikuwa maarufu kidogo hiyo mitaa ya jiji amejihusisha sana na mambo ya urembo, kipindi hicho kuna project nilikuwa naifanya hiyo mitaa ya Malimbe, kilipo chuo cha Sauti.
Nilijuana nae jioni moja wakati narejea nilipokuwa naishi, akiwa na wenzake wawili nilisimama kwasababu nilijua fika ni wanachuo, na nilivyowaambia niwasogeze hawakusita.

Walikuwa ni waongeaji wazuri sana and very charming, niliwafikisha na walitoa shukrani zao na kuondoka zangu, zikaisha kama siku mbili hivi, nikiwa mitaa hiyo hiyo ya chuo, nilimwona huyu binti akitoka kwenye ATM ya CRDB kwa pale nje, niliamini angeweza kunikumbuka kabla hajatokea barabarani nikawa nimefunga break mbele yake, nakumbuka nilimsalimia akaitika na hakuchukua muda alinitambua nikamtania anipe pesa kidogo alizotoa akacheka! Aliniuliza anipe kiasi gani, nikamwambia elfu 5 inanitosha, akajua namtania.
Aliniambia nisimdhihaki...utani utani mdogo pale, na baada ya hapo nilimtakia muda mwema ila kabla sijaondoka aliniuliza ninakoelekea, nilikuwa naenda geto. Oh sawa. Sikumuuliza yeye anaenda wapi. Tukaachana pale.

Siku moja jioni, nilikuwa na jamaa yangu mmoja sehemu moja maarufu mitaa ya Mkolani, tukijadiliana mambo machache na kupata nyama choma kidogo, sehemu tuliokuwa tumekaa ilikuwa ni rahisi kuona watu waliokuwa wanaingia, ilipaki Suzuki grand nyeusi pale na wakashuka watu watano wavulana wawili na wasichana 3! Na huyu mdada alikuwa mmoja wao, niliweza kumtambua mapema kwasababu alikuwa ni mrefu kuwazidi wale wenzake wawili.

Walikuja kukaa karibu kabisa na tulipokuwepo, wakati huo alikuwa bado hajaniona, wamekaa pale wakaendelea na mambo yao yakuagiza vinywaji na vitu vingine sasa nikamjulisha yule jamaa yangu, nikamwambia wanachuo hao akanihoji kama nawafahamu, nikamwambia namjua huyo mmoja mrefu, nikawahai kwenye maelezo lakini sijui jina lake ni nani! Jamaa akaniuliza kama na yeye ananifahamu, nikamwambia hapana tunajuana kijujuu tu. Sasa mbona kakuchunia? Au ndiyo yuko na jamaa yake hapo, mi nilijua hakuniona na alikuwa hajaniona kweli!

Kuna muhudumu alipita pale mezani kwetu, na wakati anaondoka nilimwambia awasalimie hao waheshimiwa hapo, alipofika pale alitoa salamu zangu na walitugeukia yule mdada alivyoniona alipunga na mimi nikapunga.
Hazikupita dakika chache alikuja pale tulipokuwa tumekaa akawaacha wenzake pale, tukasalimiana pale ilibidi tuulizane majina, Mwanzo wakufahamiana vizuri ukawa hapo! Na tukawa marafiki wazuri tu!!

Ilipita kama miezi kadhaa tukiwasiliana na kuonana mara chache nyakati za jioni, kipindi anaanza mitihani yake ya final alinijulisha kuwa akimaliza atarudi kwao Kilimanjaro, yaani kipindi chote hicho sikuwahi kujua kama huyu binti alikuwa wa Moshi na sijui ilikuwaje hatukuwahi kuulizana kabisa about our origin.
Ikabidi sasa nimhoji kuhusu hayo, we speak alot mimi mwenyewe Kilimanjaro ni mwenyeji sana, nilimjulisha nilipokulia na kusoma coz wazazi wangu wanaishi Moshi so Moshi ndio nyumbani kwetu pia.

Urafiki ukaendelea nakumbuka siku anamaliza paper alinisihi sana tutoke, so niliweka ratiba zangu sawa kabisa na aliniomba sana asiwaache marafiki zake, nahisi hawa walikuwa wapambe wake wazuri hasa kwenye mambo ya urembo. Outing ya siku hiyo ilikua poa sana, nilimuuliza ataenda lini kwao, akaniambia after one week coz kuna mambo yake ya research yalikuwa hayajakaa sawa, so angekamilisha kwanza ndio aondoke.
Na ndani ya hiyo week nilikuwa na mpango wa kwenda nyumbani pia.

We planned it together, siku atakayokuwa anaondoka tuondoke wote, akakamilisha mambo yake na mipango ya safari ikaanza jioni siku moja kabla yakuondoka aliniomba nimpelekee mizigo yake stand, na nilifanya hivyo na tayari alishakata tiketi, yangu na yake.
Tulikaa sehemu moja kwenye basi, tulipiga story nyingi sana, alinisimulia miaka yake mitatu ndani ya Mwanza na ushiriki wake kwenye mambo ya urembo na jinsi alivyokuwa maarufu ndani na nje ya chuo chao, na jinsi alivyokutana na kuhongwa kwa kila aina na jinsi alivyokabiliana na hizo hali.

Changamoto moja kubwa ni mtu wa social media sana, sana sana Instagram.
Safari ilikuwa poa na yeye alishukia sehemu moja inaitwa barabara ya machame, ambapo alipokelewa na mama yake kuelekea kijijini kwao maeneo ya Mfoni, na wakati basi linafika hapo tayari ilikuwa ni usiku karibia saa tatu. Mama yake alikuwa na usafiri so haikumsumbua sana.

Nilifika home salama pia, na nilikuwa na siku 4 tu za kukaa moshi, project niliyokuwa nafanya Mwanza ilikuwa bado haijaisha ilinilazimu nisikie sana Moshi. Sasa mdada alivyofika kwao sijui ilikuwaje kwasababu alikuwa ananipigia simu kila baada ya Saa, yaani akikaa sana bila kupiga simu ni masaa mawili, na sms za kutosha akiandika meseji nisipomjibu ndani ya dakika 5 anapiga, duh! ikawa too much...
Nilimtafutia kasababu ikabidi ni mblock whatsapp...kupunguza tu usumbufu kwa njia hii. Na akaunti ya Facebook ilibidi niiblock kwa muda kwasababu reaction yake haikuwa nzuri sana

Tukiwa safarini aliniuliza kama nina girl friend au kama nimeoa, nilimjulisha kuhusu mpenzi wangu niliyenae. Sasa sijui alichukuliaje, kiufupi alisumbua sana, nikajua huyu huko kwao hana cha kufanya na yuko na simu muda wote.
Siku moja kabla yakurudi Mwanza aliniomba sana aje kwetu, nilimkubalia alikuja Ijumaa jioni baada yakumuelekeza nilipokuwa naishi.
Tulikaa pamoja kwa muda almost 2hours...home alikuwepo pia dogo langu mmoja wakiume.

Nilimwomba dogo ampeleke kituo cha mabasi kwa pikipiki yake, alikubali akaondoka.
Alivyopanda gari alinitext "Please I will talk to you later"... don't sleep early!! akafika kwao salama kama saa mbili hivi, akapiga simu...Dada akafunguka, alinieleza mambo kibao! Kumbe hadi Mwanza alikuwa ananifollow sana bila mimi kujua, alinieleza alivyonipenda alivyoniona kwa mara ya kwanza wakati nampa lift kwenda chuoni kwao na mambo mengine mengi.
Alinieleza angekuwa mwanamke mwenye raha sana duniani kama nitakubali kumwoa. Aisee hii ilikuwa changamoto kubwa sana kwa upande wangu, sijawahi kutongozwa na mwanamke direct namna hii toka nimekuwa mtu mzima.

Hapa alijitahidi sana kujidefend tena kwa nguvu kubwa nisije nikamwona Malaya. Kiukweli sikuwa na namna zaidi ya kumkatalia, nilimweleza kwa undani nilipotoka na mpenzi wangu, tulivyosaidiana kwa mambo mengi, ningesema nimwache nimkubalie yeye ingekuwa ni usaliti uliotukuka na sikuwa tayari kufanya hivyo.

Nilirudi zangu Mwanza kuendelea na shughuli, ilikuwa imebaki miezi michache iishe, huyu dada hakuamini kama nilimaanisha kweli, kumkataa. Aliendelea kupiga sana na kutext sana, mpaka ikabidi nimpige block sehemu zote, tukakaa kama miezi mitano hivi no communication kumbe wakati dogo alimpeleka stand alimuuliza jina na akamwadd facebook so akitaka kujua taarifa yoyote kuhusu mimi alikuwa anamuuliza dogo kijanja, siku moja dogo akaniambia huna mawasiliano na fulani? Ikabidi nimwelezee dogo situation iliyotokea, akawa anamjibu kiakili tu!!

Mwaka ukaisha, mawasiliano yakawa ni kidogo sana.
Sasa nikaamua kum unblock WhatsApp then, nikamtumia simple meseji yakumsalimu tu kama rafiki, akawa na response ya kawaida tu! Na wakati huu anafanya kazi kwenye shirika moja hapa town.
This time mimi ndio nilianzia mawasiliano na lengo lilikuwa nikumjulisha kuwa nitaoa muda sio mrefu, coz alishaniambia she won't rest on me mpaka asikie nimeoa,

She blessed that tena kirahisi kabisa na yeye akaniambia juzi juzi alitoka Mwanza kutambulishwa ukweni so na yeye ataolewa. Nikamwambia iko poa na Hongera.
Asubuhi moja niko bored kimtindo nikaona text yake watsap kuna kitu aliniomba nimsaidie kukufix, nikafanya hivyo and then nikamwomba kama tunaweza kuonana jioni, akakubali na nilimwambia aje tu home ninapoishi, akaniambia atakuja saa kumi na mbili jioni, nikamwambia poa.

Alifika kama kumi na mbili na nusu hivi,na wakati huo nilikuwa mwenyewe. Nikapika then tukapata dinner pamoja, hatukuwa na story nyingi...baada ya msosi tamaa ya kusex ilinipanda balaa, sikuwa na namna nikasema ngoja nitest kama ataniruhusu, nipige mambo tu! As tayari alishawahi kuonyesha interest kubwa sana kwangu, sikupiga mahesabu yakunyimwa na siku plan hata kumtongoza kwenye hilo.

Na kipindi chote akiwa kwangu hiyo jioni hatukuzungumza kabisa mambo yakuoa kwangu wala kuolewa kwake.
Nilimwambia asogee karibu yangu akasogea nikaingiza mkono mmoja kwa nyuma ili kumshika kiuno wala haunizuia zaidi yakusema please don't do anything to me..akawa ananiambia nakuomba tafadhali usifanye chochote, hapo keshanilalia kifuani na hata kuhema vizuri hawezi tena ananipiga mihemo ya juu...

Nikamvuta vizuri akaja mdomoni she gave me a very romantic romance, nilimwambia tu I never knew if ur sex like this kwasababu alikuwa anafanya hiyo kitu kwa namna ya kipekee sana.
Isiwe shida nikambeba nikamuingiza chumbani tayari amelanika balaa baada ya kufanikiwa kumvua pant ile naanza kuingiza mashine tu...aliruka kwa speed ya ajabu ila ilikuwa ishaingia akajichoropoa kwa nguvu zote, ndani ya sekunde chache alishavaa nguo zake..huku akisema no please no please usifanye hivi...na kuanza kunilaumu

Lawama nyingi tu, akiniambia we si ulinikataa si ulinikataa mwenyewe!! Hapana siwezi kufanya na wewe tayari una mchumba, kama ulinitaka kwanini ulinikataa? Au ndio umeanza umalaya akaanza kuniita tena wewe ni malaya hivi ndivyo unavyowafanyia marafiki zako wengine? Tabia mbaya sana.

Akalalamika kweli, akaondoka zake.
Huo usiku sikumpigia wala kumtext, ile naamka asubuhi alikuwa ameniandikia ujumbe ambao ulinichanganya sana sana.
Aliniambia SIKUTAKA KUKUUA MIMI NIMUATHIRIKA.

Nilidhani ananitania lakini baadae alinieleza vizuri jinsi alivyopata maambukizi na jinsi alivyopima zaidi ya mara moja na akoanekana ameathirika na akaniambia mpango alionao, ataolewa na huyo huyo jamaa aliyemwambukiza. Ambaye amemfuatilia kwa miaka mingi kidogo na alivyoona mimi nimezingua ikabidi amkubalie tu.
Ni hatari sana! nikamwambia sifikirii kama mimi nitakuwa mzima, akaniambia hajaniambukiza coz hakupata mchubuko wowote, nikamhoji kuhusu romance tulizofanya sana, pia akaniambia hana mchubuko wala kidonda chochote mdomoni.

Aisee hii hali ni hatari sana, sijiamini. Nimemkwepa girlfriend (mchumba wangu) mwezi sasa sitamani kukutana nae hata kidogo, nitamani nimwelezee nashindwa ila kiukweli najizuia sana kukutana nae, mbaya zaidi hapendi kinga kama hayupo kwenye siku za hatari.

Namkwepa mnoo, nasubiria miezi 3 iishe nikapime nijue hali yangu.
Nishauri wakati Nasubiria kupima ni sahihi kumweleza huyu mtarajiwa wangu?? Naweza kupata walau relief kidogo?
Nimesongwa na Mawazo...Nampenda sana huyu mchumba wangu and real i don't want to see her suffering....
 
Sasa ukimwambia unategemea nini?

Ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wako. Kama kweli huyo girlfriend wako unampenda kama unavyoelezea hapa.

Wanaume tumeumbiwa mateso, teseka nalo miezi miwili ilobaki sio muda mrefu sana boss.

Ukishapima ukagundua wewe ni mzima basi usikaribie wala kukaribisha zinaa karibu yako.

Uliiomba mvua mwenyewe, yavumilie matope tu boss, patanyauka muda sio mrefu maisha yataendelea
 
Yani umweleze mchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?

You cant be serious! Ni heri ufe na mzigo wako moyoni mwako, sababu umeshayasema hapa kiasi kikubwa cha mzigo nahisi kitakua kimekuondokea, na ukithubutu kumwambia hata hiyo ndoa sidhani kama itakuwepo tena

Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu

Kama hakupata wala ww hukuwa na michubuko maambukizi kupata chance ni ndogo sana subiri tu huo muda utimie ukapime ujiridhishe au kama unaona unawaswas sana ungeenda hospital kuna dawa flani ungepewa wakat unakua kwenye window period

Hope utakua umejifunza.
 
Yani umwelezemchumba wako ulitaka kuchepuka upate relief?

You cat be serious! Ni heri ufe na mzigo wako moyon mwako, sababu umeshayasema hapa kiasi kikubwa cha mzigo nahisi kitakua kimekuondokea, na ukithubutu kumwambia hata hiyo ndoa sidhani kama itakuwepo tena

Wakati mwingine mjuage bas kusema na tamaa zenu, mtu humjui mmekutana tu juu juu unamwamini kiasi gani kumwingiza kwako na kumfanyia yote haya, yan maisha yako ulikua unayweka rehani mwenyewe kwa tamaa tu

Kama hakupata wala ww hukuwa na michubuko maambukizi kupata chance ni ndogo sana subiri tu huo muda utimie ukapime ujiridhishe au kama unaona unawaswas sana ungeenda hospital kuna dawa flani ungepewa wakat unakua kwenye window period

Hope utakua umejifunza.
Yes, nimejifunza sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom