Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 918
Hapo tu,
Umekuwa on top of every one and everything kwa siku ya leo,
Si kwamba nina wivu ila umeonesha kwamba nusu kitu bado haiwezi kuchukuliwa kama kitu kamili!!
Umebarikiwa sana.......(ADi usijedhani Babu ana ghubu...lol)
Babu DC!!
asante sana Babu DC (wa wilaya gani??-just a little joke!)
ni kweli, mwanamke na mwanaume ni kitu kimoja. maisha hayawi kamili kama tutawa-differentiate bali tukiwa-integrate! hakuna furaha wala uchungu wala fahari nk ya wanawake pekee isiyowahusu wanaume na wala hakuwa za wanaume zisizowahusu wanawake. this is our world and our life, a wonderful architecture of our Holy God!!
ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God!