Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
Nilisahau hili:
Kimejaaliwa kitanda unacholalia.
Zimependelewa nguo unazozivaa
Amebahatika msusi anayekusuka.
aiseeee khaaaa!
Nilisahau hili:
Kimejaaliwa kitanda unacholalia.
Zimependelewa nguo unazozivaa
Amebahatika msusi anayekusuka.
Kabakabana.... THANK U For this WONDERFUL Post.... Ipo soo insightful and real.
THANK U For sharing Dear....
Wanaheri wazazi waliokuzaa
Wana bahati watoto uliowazaa/utakaowazaa
Amependelewa mme aliyekuoa.
Nimetunukiwa shemeji niliyepewa.oa
Nilisahau hili:
Kimejaaliwa kitanda unacholalia.
Zimependelewa nguo unazozivaa
Amebahatika msusi anayekusuka.
Baadh ya akinamama wakiwa katika maandamano yakuadhimisha sikukuu yao mjini iringa leo...
ohhhh nimeona niongezee hii.
Ashadii we si ndo JF WOMAN OF THE YEAR .
ulishinda mchakato huo. Hongera sana tena sana
Special dedication to you .
juu ya thread yako umesema u mama huu wimbo is just perfect for you .
Boyz II Men- A Song a Mama (w/ lyrics) - YouTube
You know what shem... when I see my mama huwa natamani wanawake wote wangekuwa kama yeye. I love her...(we mwenyewe shahidi yangu). Sasa the way ulivyoandika thread yako nikawa naisoma huku namuona kwenye screen. Yaani wewe!Darling shem.... The beauty of being a woman is me Just pretending I am dumb enough not to understand what prompted hivi viwezeshaji badala yangu....:biggrin:
I'm ever proud being a woman..Happy Women's Day all JF ladies, shostiz, mumie, dadaz!!!!
Dedication to all ladies
- Strength of a woman - Shaggy
- Who run the world - Beyonce
P.S. Ashadii, ulinisoma kweli? maana sina uhakika kama ulipata ile PM, julisha me pls kama ilikufikia. Remain blessed darling!!
Mmmh mama mkwe...Kumbe mnaweza kuwa vyovyote mnavyotaka....Dah sisi tunakosa hiyo red...Wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika
Pamoja sana AD. Kuna haja ya kuweka source?
Barikiwa!
Hii mbona promo ya nguvu
Nawapa heshima zenu all the women in this world...you enable us to go forth uplight
Yaani tumetofautiana sana. Yaani hakuna kitu nachomshukuru Mungu kama kuniumba Mwanaume.Moja ya vitu ambavyo nimeridhika navyo maishani ni kuwa mwanamke.Nafurahi na kumshukuru Mungu kuniumba mwanamke.
Napenda niseme ni kweli in Red.... Bado tuna safari ndefu, kwa kiasi kikibwa kuwezeshwa bado kwa hitajika ingawa ni kuangalia ni kuwezeshwa kwa aina gani... Asante kwa salamu Maranya... Pamoja sana.
Umenikumbusha ngoja nimpigie simu mama angu
What an incredible msg of today. Thank you, and for that we real proud and deserve to be women.
Happy women's day too AD
View attachment 48861
Yaani tumetofautiana sana. Yaani hakuna kitu nachomshukuru Mungu kama kuniumba Mwanaume.
Lakini pia namshukuru Mungu sana kuniletea wanawake ukiwemo wewe.
Women out there and in here.
Walk tall due to the pride bestowed on you all.
Abide beauty, tenderness and adorable being, women are deep within their thoughts and feeling, women are believers though liars prey on them....
I admit that women are more than the look...
WOMAN, be happy not only today but the rest of the days!
u are warmly welcome my love,
with lots of love!cheers
You what shem... when I see my mama huwa natamani wanawake wote wangekuwa kama yeye. I love her...(we mwenyewe shahidi yangu). Sasa the way ulivyoandika thread yako nikawa naisoma huku namuona kwenye screen. Yaani wewe!
I love my mama
I love my darling wife
I love my two daughters
I love you
And I love all women all over the world.... not all kwa maana ya wote ila wale wanawake kwa maana ya uanamke wa kiukweli. (ambao kwa asilimia kubwa ni wengi)
Mmekuwa wazazi wangu
mmekuwa walezi wangu
mmekuwa walimu wangu
Mmekuwa faraja kwangu
mmekuwa maua yangu
mmekuwa wadekezaji wangu
mmekuwa wabembelezi wangu
mmekuwa wasaidizi wangu
mmekuwa washauri wangu
mmekuwa waombolezaji wangu.
Najaribu kutafakari dunia hii bila ya wanawake ingekuwaje.
Kwa kutuonyesha kuwaunatujali tunaomba utu fungulie wafungwawote wanawake faiza foxy,afrodenzi na wengineo mkuuWomen out there and in here.
Walk tall due to the pride bestowed on you all.
Abide beauty, tenderness and adorable being, women are deep within their thoughts and feeling, women are believers though liars prey on them....
I admit that women are more than the look...
WOMAN, be happy not only today but the rest of the days!
And the great privilege for a man is to put that living thing into woman's womb.... Kwamba mwanamke kutoka kwenye ubavu wa mwanaume na mwanaume huyohuyo anapewa mamlaka ya kuweka kiumbe kwenye tumbo la mwanamke huyo.... Wacha kabisa.And can you tell me why?
Being a woman is the great privilege to feel the creation of human being to the higher extent(just imagine miezi 9 unatembea na uhai wa mtu tumboni).Achana na yale mashida mengine wanayapata wanaume hata siwezi zungumza hapa...