I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.
za kusema kweli wachaga kitandani ni kama gogo, hwajui lolote, wezi tu

sasa na wewe GUDBOY mbona unakuwa off point nani kauliza habari za kitandani? changia hoja ujenge point yako si kutoka nje ya hoja iliyopo. nyie ndo wale wale everything kuhusu relationships inalingaishwa na sex lol!!!:(
 
Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!

kaka unatisha, Hapo kwenye red vipi usalama wako!! HIV kaka, we isikie tu kwa watu!!
 
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!

Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!

Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!
 
Mmesikiliza hotuba za kumbukumbu ya Mwalimu Jana? I gues the Man Hates tribalism!!! Mbona mnahubiri ukabila humu? But ukweli uko pale pale mademu wa kabila letu(Chagga) ni noma. Naona hii mada isubiri kwanza tusahau mahubiri ya baba wa taifa jana.
 
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!

Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!

Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!

I support you mkuu! NI KWELI KABISA...
 
sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai.

If you can't resist the heat quit the kitchen. However , kama wewe unatamani sana kuona demu wa Kichaga kwa raha zako au vijisababu vyako vingine lazima ujue yafuatayo.

1. Wao ndio wanaongoza kwa shule (education ) Tanzania hii. Demu wa
form 4 Chagga huwezi kumlinganisha na demu wa Kimakonde same
level.

2. Kutokana na hapo juu wana mtizamo tofauti wa maisha na hao
waliotajwa..Nyamwezi, Sukuma , Gogos, makondes etc

3.Ni watu wasioshabikia failure by any standard. If you are a failure do'nt
even try a short kiss with a Chagga lady.

4. Huko kwao wanafaiti kuondoa vyoo vya shimo na sio kujenga vyoo vya
kama walivyo makabila mengi. If you want evidence , visit rural Kil.
areas.

Hebu jiangalie wewe, kama kwenu hamna hata choo cha shimo --- mtakuwaje compatible na huyu? Ni kama mman'gati wwa kijijini kuoa demu wa kizungu Mwingereza. Haa ha haaaaaaaaa

My take. aliyeleta mada hii ana inferiority complex kuhusu Chagas. He could be one of the failures who Chagga ladies just do not bother mix with.

Jitahidi kuondoa weakness zako na utampata your favaourite Chaga baby just like Mkapas, Sumaes, etc etc . who prima facie are non chagas . Finito.
 
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!

Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!

Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!

Naunga mkono hoja Next Level.
 
Nawapa BIG UP dada zangu wa kichagga!! mko juu....nyie ni wanawake wa shoka!! sihitaji takwimu wala nini, ushahidi huu hapa JF! midume kibao humu inalalama juu ya wanawake wa kichagga, si ajabu utakuta ni mijibaba ambayo kimtizamo inaonekana kutisha lakini wanakiri udhaifu wao bila kushurutishwa kuwa nyie dada/mama zangu mmewazidi na hawawezi!hongereni sana! vyasaka hawa wanadhani mapenzi ndio ishu kwetu..kwetu pesa na maisha bora kwanza! mambo ya kitandani hadithi nyingine...kwanza si lazima, jianaume kama ni goi goi kutafuta uling'anganie la nini? kisa mapenzi!! kiruuuu, woi leka naiyo! dada zangu kazeni buti, msipoteze loose opportunity hizi.. ngoja tuendelee kusoma vilio vya hawa watu....
 
Actually you are supporting the proposal.lol
 
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!

Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!

Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!

Oohh Kumbe na wewe ni mchagga!
 
If you can't resist the heat quit the kitchen. However , kama wewe unatamani sana kuona demu wa Kichaga kwa raha zako au vijisababu vyako vingine lazima ujue yafuatayo.

1. Wao ndio wanaongoza kwa shule (education ) Tanzania hii. Demu wa
form 4 Chagga huwezi kumlinganisha na demu wa Kimakonde same
level.

2. Kutokana na hapo juu wana mtizamo tofauti wa maisha na hao
waliotajwa..Nyamwezi, Sukuma , Gogos, makondes etc

3.Ni watu wasioshabikia failure by any standard. If you are a failure do'nt
even try a short kiss with a Chagga lady.

4. Huko kwao wanafaiti kuondoa vyoo vya shimo na sio kujenga vyoo vya
kama walivyo makabila mengi. If you want evidence , visit rural Kil.
areas.

Hebu jiangalie wewe, kama kwenu hamna hata choo cha shimo --- mtakuwaje compatible na huyu? Ni kama mman'gati wwa kijijini kuoa demu wa kizungu Mwingereza. Haa ha haaaaaaaaa

My take. aliyeleta mada hii ana inferiority complex kuhusu Chagas. He could be one of the failures who Chagga ladies just do not bother mix with.

Jitahidi kuondoa weakness zako na utampata your favaourite Chaga baby just like Mkapas, Sumaes, etc etc . who prima facie are non chagas . Finito.

Kwa hiyo unashauri jamaa azichange ili akatumie na mademu wa kichaga? Huu si ndio ubalahau u-pimbi na uzuzu wenyewe mdau anaoukataa..au hujaelewa proposal ya mleta thread.
 
Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers[/B] nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!

hapo hom-boi umenigusa kwelikweli,maanake shemeji yako ni mchaga wa rombo
 
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu

Sasa unataka kusema kuwa wenyewe kwa wenyewe pia mnaweza kuleteana ukatili??? Mm nadhani wewe na wife wako ni jamii moja, kwa hiyo hakuna tatizo hapo..
 
......huu mjadala ungekuwa wa kuwajadili ''baadhi'' ya wanawake wenye tabia za namna iliyotolewa na mtoa mada hapo juu no matter ni mchaga, mluguru,mpogoro,hehe,masai,mpangwa,ngoni,sukuma,nyamwezi.etc etc etc etc....!

Si baadhi ya wanawake wa kichaga wenye matatizo hayo pekee, hata makabila mengine hayo matatizo yapo sana tu, sisi wengine hatujawahi kuwa na uhusiano na wanawake wa Kichaga lakini huko kwingine tumepata maumivu zaidi kuliko hayo unayoyaeleza hapo mkuu!

Wapo baadhi ya mashemeji zangu wa kichaga they are perfect mothers nakwambia ofcourse kuna baadhi yes kuna matatizo. Vilevile wako wanawake wa makabila mengine, wako vizuri sana kwenye familia but kuna vimeo pia huko tena ni hatari kuliko mnavyofikiria!

Safi sana Mkuu, unajua hizi mada za ukabila na udini udini siku moja zitakuja kuvunja ndoa za watu.
 
tujadili tabia na mienendo ya mke mwema.
kabila si tatizo.... najua hapa kuna siri na ishu kubwa ambayo kama tunafanya utani tutakosa kuelewa na haina haja ya kulumbana hovyo.
ninavyojua mimi ni kwamba matatizo mengi ya kijamii yanatokana na mazingira na mfumo mzima tunaoishi ndani ya jamii....sidhani kama ni ishu ya kuzaliwa nayo/genetical n inheritance.
kwa hiyo......kwa wote tunaotaka kuoa.....tutazame tabia na si kabila. kuzaliwa ni kama ajali ya ndege, huweza angukia popote. sasa hapa tatizo ambalo naliona tuanze kutafakari malezi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom