Hydraform machine for hire

wamatinga

Member
Jan 22, 2013
99
15
Tunakondisha hydraform brick making machine.pia tunaye mtaalam wa kutengeneza hayo matofali kama utamhitaji.
 
Mpo wapi? Ni auto ama manual?
Ina uwezo wa kutengeneza matofali mangapi kwa saa?
 
Unapotoa tangazo uwe na maelezo ya kutosha mfano bei, mahali ilipo, uzalishaji wake ukoje etc.
 
Nipo Dar. Tsh 200,000 kwa siku.
Mkuu kwa kutuweka sawa:
1. Hiyo laki 2 ni pamoja na mtaalamu?
2. Je mashine + mtaalamu wakikodiwa kwa siku unatoa guarantee watakamilisha tofauti gani?
Ukodishaji huu utakuwa wa maana endapo mlinganyo huu utakuwa sawa:
[Kukodi (TZS200k)+udongo+cement+mtaalam+usafiri+maji + labour kumwagilia] <= [Bei ya kununua tofari zinazozalishwa kwa siku].
 
Tunakondisha hydraform brick making machine.pia tunaye mtaalam wa kutengeneza hayo matofali kama utamhitaji.

Umetuacha hewani, nahitaji hayo matofari, tusaidie kujibu maswali ya mutensa hapo juu.
Machine inafyatua matofari mangapi kwa siku? fundi analipwa kiasi gani? na je tofari lilitayari mnaliuza kiasi gani?
 
Back
Top Bottom