Huyu Sasha Obama anazidi kuchipuka tu polepole!

Picha nzuri ya familia. Naomba mwenye picha ya familia ya rais wangu aitume hapa nifurahi.
na hilo purungutu la watoto wasiohesabika unafikiri watajaa kwenye kamera kweli?yeye ilani yake ni kujaza dunia?????
 
Hapa maadili yetu vipi?

IMG_3469.jpg
 
Kwani ana watoto na wake wangapi?
1.mamam mwanaisha
2.mamasalma
3.mama rizwani
4.mamam miraji
5;;;;;;;;
6.......18
.....
na kila mmja ana watoto wakutosha wacha kale kabint kajuzi kakiarabu,wacha wale watotot wa kuiba iba mama zao hawakuol;ewa hahahah
 
1.mamam mwanaisha
2.mamasalma
3.mama rizwani
4.mamam miraji
5;;;;;;;;
6.......18
.....
na kila mmja ana watoto wakutosha wacha kale kabint kajuzi kakiarabu,wacha wale watotot wa kuiba iba mama zao hawakuol;ewa hahahah

Haina shida. Basi naomba nione japo picha ya nusu au robo familia kama unayo iweke hapa maana kiu yangu ya kuona picha hiyo inazidi kupanda; najua kuna wengine wengi wangefurahi pia kuiona
 
nimecheka sana kusikia anafamilia mithili ya timu ya basketball
 
yoyote kati ya familia zake, maana Nivea kaniorodheshea mlolongo wa familia

husomi magazeti?kila mwaka siku ya birthday yake magazeti huwa yanatoa picha ya familia yake,na juzijuzi hapa siku ya sensa wametoa kwenye magazeti mengi picha za familia yake!Mpaka hapo bado hujaijua tu official family yake?!pia alishawahi kutangaza rasmi mkewe ni mama salma.
 
Back
Top Bottom