Huyu Sasha Obama anazidi kuchipuka tu polepole!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
7934576340_e2309f038f_b.jpg




Sasha+Obama+Obamas+Go+Sunday+Service+qZxfVb8HUzRl.jpg




Sasha+Obama+Obamas+Go+Sunday+Service+VsrrH9_zcuml.jpg
 
ana umri gani? Kibongo bongo KINA Tinoco tayari wangekua washagundua kipaji.. Angekuwa used na sio sealed!
 
Sitashangaa siku moja akigombea urais.Angalia historia ya marais marekani.
 
mimi like uyo aliyeko karibu na mamaa Michelle(sijui ndo Sasha au vipi)...mtoto safi sana..
 
Familia ya rais wako kwa mke yupi? Ukitaja familia ya mke gani unayetakia picha unaweza kupata lakini familia, sina hakika kama unaweza kupata
 
  • Thanks
Reactions: PhD
mimi like uyo aliyeko karibu na mamaa Michelle(sijui ndo Sasha au vipi)...mtoto safi sana..
Huyo ndo Sasha, na daddy girl ni Malia.

Nimependa swaga za mama Obama...jamani kuzaa sana kunazeesha. Wapi mama mwanaisha na huyu
 
Mtaishia kula kwa macho tu!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Huyo ndo Sasha, na daddy girl ni Malia.

Nimependa swaga za mama Obama...jamani kuzaa sana kunazeesha. Wapi mama mwanaisha na huyu

hivi hujui kuwa kila awamu Tanzania huwa kuna marais wawili, wakiume na wakike hiyo style ilianza wakati wa awamu ya pili...


MwakaRais wa Kiume Rais wa Kike
1985-1995Ali Hassan MwinyiSitti Hassan Mwinyi
1995-2005Benjamin W. MkapaAnna Mkapa
2005-2015Jakaya M. KikweteSalma M. Kikwete

<tbody>
</tbody>
 
Back
Top Bottom