tRNA
Member
- Jan 10, 2023
- 88
- 288
Habari wadau JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza niende moja kwa moja kwenye main issue! Kama mnavyojua siku hizi kila pisi kali utakayo igusa lazima itakwambia ina mtu wake basi mimi huwa napenda sana hizi league kiufupi mimi ni mpenzi sana wa mapinduzi yani manzi akiniambia kuwa yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine mimi ndo napenda sasa na huwa nafanikiwa kumnasa mapema sana.
Sasa kuna kitu nimeona nije ni share na nyie huku katika mapinduzi yangu yote kuna mademu kama sita iv watano kipind cha nyuma nao waliniambia washkaji zao yani ma ex zao ni usalama huyu wa juzi ndo wa 6 ambae nae alikuwa kwenye mahusiano na jamaa alie mwambia kuwa yeye ni usalama wa taifa sasa najiuliza ivi ni sifa au ni nini inapelekea mtu kujitambulisha kwa manzi tena hata sio mke wako kwamba wewe ni usalama? Je maadili ya hiyo kazi ndo yanasema ivo ujitambulishe mpka kwa michepuko!
Au wanawadanganya watoto wa watu kuwa wao ni usalama ili wawaogope na waogope kuchepuka?
Huyu wa 6 ananiambia kwamba jamaa yake amesema hawezi kukubali amuache hata siku moja ni moto lazima uwake na mimi siwezi kuiacha hii pisi asee ni pisi kali sana ya kichaga tutakutana huko huko mbele ya safari.