Huyu ni mwanamke wa sita nae ananiambia ex wake ni usalama

tRNA

Member
Jan 10, 2023
88
288
Habari wadau JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza niende moja kwa moja kwenye main issue! Kama mnavyojua siku hizi kila pisi kali utakayo igusa lazima itakwambia ina mtu wake basi mimi huwa napenda sana hizi league kiufupi mimi ni mpenzi sana wa mapinduzi yani manzi akiniambia kuwa yupo kwenye mahusiano na mtu mwingine mimi ndo napenda sasa na huwa nafanikiwa kumnasa mapema sana.

Sasa kuna kitu nimeona nije ni share na nyie huku katika mapinduzi yangu yote kuna mademu kama sita iv watano kipind cha nyuma nao waliniambia washkaji zao yani ma ex zao ni usalama huyu wa juzi ndo wa 6 ambae nae alikuwa kwenye mahusiano na jamaa alie mwambia kuwa yeye ni usalama wa taifa sasa najiuliza ivi ni sifa au ni nini inapelekea mtu kujitambulisha kwa manzi tena hata sio mke wako kwamba wewe ni usalama? Je maadili ya hiyo kazi ndo yanasema ivo ujitambulishe mpka kwa michepuko!

Au wanawadanganya watoto wa watu kuwa wao ni usalama ili wawaogope na waogope kuchepuka?

Huyu wa 6 ananiambia kwamba jamaa yake amesema hawezi kukubali amuache hata siku moja ni moto lazima uwake na mimi siwezi kuiacha hii pisi asee ni pisi kali sana ya kichaga tutakutana huko huko mbele ya safari.
 
Hata na wewe ukiachwa ataenda kuwaambia na wewe ni usalama.
 
Nawe kwa asilimia 100 unaamini?

Siamini lakin nimeona sasa hii tabia inazid kwa kasi huyu wa sita nataka nikutane na huyo ex wake ambae anasema yeye haachiki pia manzi anasema jamaa alishawahi hadi kumtolea vitambulisho vyake vya kazi
 
Achana na upuuzi wa kung'ang'ania wanawake wa watu.

Kinachoonekana, si kwamba unapenda bali una asili ya ubishi na majigambo. Ingekuwa umefanya hivyo kwa mwanamke mmoja, ningekuelewa kuwa unampambania mwanamke unayempenda.

Ila wanawake sita? Wote unawang'ang'ania kama kupe? Na wote wamekuambia wana watu wao?

Siyo lazima awe usalama, ila tu akishakuambia ana mtu wake tafadhali heshimu hilo.

Ukija kufirimbwa, sphincter hazirudi. Nati ikiachia imeachia.

Kila la kheri.
 
Soma vizuri mkuu nimekwambia mimi ni mdau mkubwa sana wa mapinduzi sio mapenzi tu hata kwenye biashara! Pia kwa wanawake wenye vigezo vyangu nikiwafata nakuta wengi wapo kwenye mahusiano toxic. Kwaiyo mkuu hata wewe kama unamzingua manzi yako nikikutana nae jua umeliwa mzee
 
Back
Top Bottom