Huyu ndo Wifi yenu.

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
Wana JF naomba nimtambulishe shemeji/Wifi yenu ndo huu.
Na Kitu tayari tunasubiri miezi tu.
delete.jpg
 
Mmeshafunga ndoa, au umeamua kutesti kitu kwanza kama kinaweza kureproduce, then ndoa baadaye ikishuhudiwa na mtoto wenu!
 
Hongera Kaka. Password yako itunze vizuri kwa wale watakao mnyemelea!

Tunamuombea miezi 9 ikamilike salama na kutuletea kizuri kilichoumbwa na Bingwa wa kuumba - Muumba.
 
Hawa wasema hovyo ndo hatuwataki humu kwenye jf..jiheshimuni jamani..shemej kasimama kitu cha mbele..very gud nigger ,iga ufe na biashara yako ya mafenes kama hujafungai.idiot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom