Wale Mnaosema Kataa Ndoa Nawapinga Kabisa

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
6,131
9,273
Aiseee Morning Glory wanandoaa!

Basi bwana week yote hii uku kwetu Mbeya Vijijini nimetembelewa na Mama yenu mdogo wengine Bibi yenu wengine Shemeji yenu na wengine wifi yenu na Wengine Lishangazi lenu. Sasa napewa yote kila mahali jikoni ni twaa twaa chooni ni twaa twaa sebuleni twaa sijawahi kukiexpirence ichi kitu wanandoa mnafaidi sana sana.

N.B Next week naenda kutoa mahali kwao Tanga-Handeni barabara ya Saba Kwa Mgosi.
 
Mahubiri ya kataa ndoa hayana madhara ndoa zinafungwa mpaka na vichaa wala shisha. Watu wanaokotana huko wanaoana watajua mbele kwa mbele ikivunjika sawa ikidumu sawa, kataa ndoa na maspika yao wanapuuzwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom