Huyu ndo Wifi yenu.

Hongera Kaka. Password yako itunze vizuri kwa wale watakao mnyemelea!

Tunamuombea miezi 9 ikamilike salama na kutuletea kizuri kilichoumbwa na Bingwa wa kuumba - Muumba.
Yaaa..kuna mwengina aliwekwa juzi hapa akipatiwa huduma ya kwanza....tena kwenye bajaji!!Duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom