Huyu ndiye Waziri wangu wa Sheria na katiba

......."hatutaki kuwa na rais ambaye si tu amir jeshi mkuu,lakini anateuwa wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa,mawaziri"......Mhe Tundu A Lisu, akifafanua juu ya kupunguza madaraka ya rais.Lisu alisema Rais anaweza akauza hata nchi na asiulizwe,je kwa nini asiulizwe?yeye si Mungu
 
Wakubwa!...,Huyu ndio waziri wangu wa sheria na katiba.Aliweza kupambana kwenye kesi yake dhid ya kupinga matokeo ya ubunge wake akiwa mwenyewe,huku akipangua kundi la mashaidi wa kununuliali.kazi yake makini na uhakika,anajua nini anafanya,umahili hadi bungeni,kweli kazaliwa kuwa mwanasheria,kiongozi na mtetezi wa wanyonge naye ni Antipas Tundu Lissu

Nilipokuwa nasoma undergraduate cbe dodoma kuna ticha anaitwa Dr. Alfred msovella kuna wkt ktk kufundisha alimrefer huyu mtu akatuhadithia kipindi cha nyuma wakati anasoma advanced level kulikuwa na debate mara kwa mara na hizo washiriki walikuwa advance tu na o level walikuwa watazamaji kutokana na utafu wa mada, ila akasema anamkumbuka form 2 mmoja tu aliyeitwa Tundu Lissu ndo angalau alikua na uthubutu wa kutia mguu ktk debate.
 
Ukitaka kumjua vizuri ni nani Tundu Lisu angalia rank ya Warwick university ambayo ndio amefanya master yake. Sio mambo ya uchakachuaji
 
hicho ni kichwa asiyejua ni magamba tu, sidhani kama kuna mtu hamjui huyo kama ni jembe.
 
Wakubwa!...,Huyu ndio waziri wangu wa sheria na katiba.Aliweza kupambana kwenye kesi yake dhid ya kupinga matokeo ya ubunge wake akiwa mwenyewe,huku akipangua kundi la mashaidi wa kununuliali.kazi yake makini na uhakika,anajua nini anafanya,umahili hadi bungeni,kweli kazaliwa kuwa mwanasheria,kiongozi na mtetezi wa wanyonge naye ni Antipas Tundu Lissu
Labda kama atakuwa amehamia CCM, kwani (1) CCM ndiyo bingwa 2015, (2) CCM haina mpango wa kumpa uwaziri mpinzani.
 
mkubwa!...wewe bwana mdogo Christiano Ronaldo,nakupa pole kwa ndoto yako isiyo na mashika,kwanza naomba usahau CCM kushinda 2015,pili kaa ukijua chukua vichwa vyote vya CCM ambavyo unaviamini ktk sheria uvilete,na kwambia hakuna wa kumlinganisha na Lissu.JK mwenyewe alisema ni bora Dr Slaa akawa rais kuliko Lisu kuwa mbunge,unajua maana yake?
 
Back
Top Bottom