Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Sasa kaka suala la Elimu linaumuimu kuliko kitukingine, ilawatanzania ni wanafik!!!! waki'sikia habari zadini wana andamana lakini mamboyanayohusu hakizao zamsingi wana bweteka!hivi tuta elimika lini? Hivi majuzi wana achia suala la mishahara ya walimu lakini wana jua kabisakuwa huko mashuleni ni watotowao ndio watakao athirika, walimu wanaweka migomobaridi sasa, hivyo tutapata matoto mambumbu tu!
Si kama hao watoto wao wanasoma hapo Bongo na kwenye Public school.
 
lakini kaka suala la Huyo mkubwa wetu tumwache kwani sasa hapati hata usingizi, lakini pia USALAMA WATAIFA ndio wana chemka na hawataki kutambua hilo kwani, una anza kupotea, kwani mambo yote haya ya Eppa na mengineyo ya singalitokea kama system ingekuwa kama ile yakina Mzena. Ukiangalia wenzetu wa USA, pindi wanapo jua kuwa SYSTEM, ina pigwa na virus, haraka wana badili namna na sehemu ambayo ina wezesha kupigwa huko na viruse, mfano pindi kiongozi unapo shindwa kuwatumia wananchi wako ili kuzalisha kwa kiwango cha kimataifa, ina maana hopo thamani ya pesa inashuka, kiwango chapato lamtu wahaliyachini kimaisha linashuka, nahapo utaona,mishahara itakuwa midogo haito tosha katika maisha yakilasiku,nahii itaanzisha kuto kuaminiana,Rushwa, uwizi, kwani kila atakaye enda kazini kwake atataka arudi japo na nauli, kwani mshahara wake utaishia katika nauli, hapo, kilamtu ataanza kuhoji juhusu serekali, na kutafuta nani mchawi. kutakuwa na hasira kati ya viongozi na wananchi, na ndipo ile vita iliyo tabiriwa na MWALIMU kuwa kutakuwa na vita kati ya walionacho na wasionacho. kwahiyo TUJITAHIDI KUMSAIDIA J.K KWANI NI MWENZETU NA AMEKWAMA. sisi ni wananchi nashauri tupo kwa ajili yake hivyo asiogope kuwatoa kafara wale wote wanao onywa kuacha kuiba, na wajaribu kuwapunguzia mali walizochukua japo hata kwa asilimia90%
 
Nimesoma kwa makini sana kumhusu huyu JK. Yote mnayoyaona ni trela tuu picha yenyewe itaanza wakati wa kipindi chake cha pili, yaani baada ya 2010. Hivyo wale wote wanastaajabu, wajue wanastaajabu ya Musa, jee ya Farao watayaweza?!.
 
JK sees greater democracy in Tanzania

President Jakaya Kikwete has reiterated that the degree of freedom and toleration that has been availed to various areas of national life reflected the government’s desire to build a society based on the principles of good governance. He said some citizens regarded the situation as inviting indiscipline.

"But this is a deliberate move aimed at consolidating freedom and bringing about greater toleration. Doubtlessly, we will get there,’’ the president told the visiting Queen Margrete II during their talks at the State House in Dar es Salaam on monday. The Queen, who is accompanied by her husband, Prince Henrik, began her four-day state visit to Tanzania at the invitation of President Kikwete on monday.

Mr Kikwete told the queen that such measures are being taken regardless of the fact that Tanzania is still a young democracy. He thanked Denmark for its support in the undertaking as well as in other areas like the development of the infrastructure, poverty alleviation, HIV/AIDS campaign, debt writing-off and good governance.

President Kikwete extended special thanks to the Danish queen for the Danish support to the CRDB Bank. “We thank Denmark and the Danish people for their assistance to CRDB Bank. It is now one of the best banks in the country due to your help,’’ he told the queen. Mr Kikwete also thanked Denmark for helping create a better environment for Tanzanian business community through the Business Environment Strengthening for Tanzania (BEST) programme.

The president informed the queen that her visit was a culmination of history since while still a student at Kibaha Secondary School on January 10, 1970 he was among the students who had lined up to welcome Danish King Frederick IX, the queen’s father, when he arrived to open the Nordic-funded Kibaha Education Centre.

He said it is a memorable event for him to welcome the queen today, adding that the cycle of history has been completed. Meanwhile, a 21-gun salute boomed across Dar es Salaam at the official welcoming ceremony for the Royal Couple at the Karimjee Hall Grounds in the city. The ceremony was attended by various national leaders including the Vice-President, Dr Ali Mohamed Shein, the Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Bernard Membe, and regional leaders led by Dar es Salaam Regional Commissioner Mr Abbas Kandoro.

Queen Margrethe II and Prince Consort Henrik are staying in the country for eight days, which include both official and private visits.Today, the Queen is going to visit Solomon Mahlangu Primary School in Morogoro, where children between 10 to 14 years will perform ‘Children as Storytellers’. In their stay in the country, the Royal couple will also visit Zanzibar and Ngorongoro Conservation Area in Arusha. They will also tour Oloirobi village.

Source:
Daily News of Nov 4, 2008
 
JK is a humble person,very tolerant and a supporter,builder of democracy in our country.He has wisdom of a true statesman and needs to make Tanzania a true multi party state.

With this development of having a lot of tarnsparency and freedom of expression we can get assured of more oppsition sests in parliament in the next election.
 
Mimi nipo uk kitu kidogo hapa utamsikia waziri mkuu ameingilia na kuongelea
mfano kuna benki imepata hasara ya rbs na mkurugenzi wake analipwa pensio kubwa...
Nina imani hata viongozi wa nchi nyingine ngambo ni hivyo hivyo...

Sasa huyu rais wetu kukaa kimya swala la dowans maana yake ni nini?
Na nikawaida yake anasubiri weeeeeee
hata ma albino walikuwa wanauliwa mmoja mmoja na yeye akawa kimya mpaka kasi ilivyopanda ndio anajidai mkali

hapa hatuna rais
 
Ndiyo maana nimewahi kusema hapa huyu Kikwete hafai kabisa hata kugombea tena 2010 maana kuna ushahidi wa kutosha kwamba uongozi wa nchi umemshinda. Jana Salva Rweyemamu mwandishi wa Rais, alisema kwamba Rais 'hahusiki kabisa na swala la mitambo ya Dowans' na sidhani kama anahusika na lolote ndani ya nchi yetu. Itakuwa vizuri wale ambao wanajiona wana sifa na uwezo wa kuwa Rais ndani ya nchi yetu waanza kujitokeza sasa maana kumrudisha tena Kikwete madarakani 2010 itakuwa ni kama kuitosa nchi kwenye maangamizo na huko upinzani naona bado hawataki kusikia kilio chetu Watanzania cha kuunda chaa kimoja chenye nguvu ili wachukue madaraka.

Hivi vyama vya upinzani bado vimelegalega sana kuweza kuchukua nchi lakini vikiungana basi Watanzania wengi tutakuwa tayari kuwaamini na kuwapa madaraka.
 
Ndiyo maana nimewahi kusema hapa huyu Kikwete hafai kabisa hata kugombea tena 2010 maana kuna ushahidi wa kutosha kwamba uongozi wa nchi umemshinda.

Hivi vyama vya upinzani bado vimelegalega sana kuweza kuchukua nchi lakini vikiungana basi Watanzania wengi tutakuwa tayari kuwaamini na kuwapa madaraka.

Nani anafaa? Hao wapinzani ndio mdebwedo kama askari wala urojo. Mara hamsini huyo Kikwete kuliko wapinzani walio lala doro.

Eti Bubu umesema wapinzani waungane! Halafu nani amwongoze mwenzie?! Nani akubali kutokuwa mwenyekiti au mgombea urais?
 
Wakiamua kuweka ubinafsi pembeni basi watampata wa kuongoza chama kipya bila matatizo yoyote kama wana nia ya kweli ya kuinusuru Tanzania. Kikwete hana afadhali yoyote ile. Afadhali katika lipi wakati nchi inayumba na kashfa zinazidi kuongezeka kila kukicha!!!? :confused:
 
Hadi hapo watakapoamua kuweka ubinafsi pembeni. Ila kwa sasa, we have Hororable, his Excellence, Alhaj, Dr, President Kikwete until 2015.
 
Hadi hapo watakapoamua kuweka ubinafsi pembeni. Ila kwa sasa, we have Hororable, his Excellence, Alhaj, Dr, President Kikwete until 2015.

Wanaweza pia kutokea watakaompinga ndani ya CCM na hivyo kuhakikisha hapati tena nafasi ya kugombea 2010 kama mgombea toka CCM. Rais kama kashindwa kuongoza nchi katika awamu yake ya kwanza basi hastahili kabisa kuongezewa awamu ya pili. Kwa kipi alichokifanya katika awamu ya kwanza hadi astahili kurudishwa tena madarakani!?
 
Watatokea wapi?

Kikwete atarudi madarakani, kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Tuna miezi kadhaa ya kusubiri, nitakukumbusha hii kama tutakuwa hai.

Kikwete ni rais hadi 2015.
 
Watatokea wapi?

Kikwete atarudi madarakani, kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Tuna miezi kadhaa ya kusubiri, nitakukumbusha hii kama tutakuwa hai.

Kikwete ni rais hadi 2015.

Kwani Kikwete alitokea wapi!? Kama wapo ndani ya CCM ambao wanaona Kikwete kashindwa kuongoza nchi kwa kuweke mbele maslahi ya mafisadi na ya chama badala ya nchi basi wapo wataojitokeza ndani ya CCM kumpinga, lakini kama ndani ya CCM hawaoni kama kuna kasoro yoyote ya Rais kuweka mbele maslahi ya mafisadi ya chama kilichojaa makundi tofauti basi watamwachia tena arudi madarakani ili kuendelea kuwalinda mafisadi na kuingamiza nchi.
 
Kiongozi kuongea ongea hakuna maana kuwa ni mtendaji mzuri. Naweza kuongea mengi lakini uteelezaji 0, anaweza akawa kimya kabisa lakini uongozi wake na utendaji wake ukawa unaonekana wazi kabisa. Nani anaongea kama Makamba hapa TZ, utendaji wake je?
NI lazima kuangalia jinsi wanavyodeliver bila kujali wanayoongea.
 
soma vizuri hoja wacha kukurupuka wewe, ndio wale wale ...
richmondiiiiii
nimeandika waziri mkuuuuuuuuuu
 
Kweli huna rais, toka lini UK ikawa na rais! hoja zingine zimekaa kizushi sana
soma vizuri na sio kurukia kuandika, yaani hata uo mstari umoja hapo juu unaonyesha nimeandika waziri mkuu wewe sijui hiyo rais umeitoa wapi??
 
Mimi nipo uk kitu kidogo hapa utamsikia waziri mkuu ameingilia na kuongelea
mfano kuna benki imepata hasara ya rbs na mkurugenzi wake analipwa pensio kubwa...
Nina imani hata viongozi wa nchi nyingine ngambo ni hivyo hivyo...

Sasa huyu rais wetu kukaa kimya swala la dowans maana yake ni nini?
Na nikawaida yake anasubiri weeeeeee
hata ma albino walikuwa wanauliwa mmoja mmoja na yeye akawa kimya mpaka kasi ilivyopanda ndio anajidai mkali

hapa hatuna rais

...akiongea mnasema anaongea pumba, ...Jakaya wee uchune tu bro, hawana heri hawa yakhe!
 
Ndiyo maana nimewahi kusema hapa huyu Kikwete hafai kabisa hata kugombea tena 2010 maana kuna ushahidi wa kutosha kwamba uongozi wa nchi umemshinda. Jana Salva Rweyemamu mwandishi wa Rais, alisema kwamba Rais 'hahusiki kabisa na swala la mitambo ya Dowans' na sidhani kama anahusika na lolote ndani ya nchi yetu. Itakuwa vizuri wale ambao wanajiona wana sifa na uwezo wa kuwa Rais ndani ya nchi yetu waanza kujitokeza sasa maana kumrudisha tena Kikwete madarakani 2010 itakuwa ni kama kuitosa nchi kwenye maangamizo na huko upinzani naona bado hawataki kusikia kilio chetu Watanzania cha kuunda chaa kimoja chenye nguvu ili wachukue madaraka.

Hivi vyama vya upinzani bado vimelegalega sana kuweza kuchukua nchi lakini vikiungana basi Watanzania wengi tutakuwa tayari kuwaamini na kuwapa madaraka.

Ndio maana sikupiga kura kwa kuona hili mapema,ni kweli vyama vya upinzani hakuna hata mmoja atakaekubali amwachie mwenzake aongoze wote wanataka kutawala,nachoamini kwenye chama Tawala wapo ambao wanaweza kuongoza nchi na wanaweza wakamtupa nje Kikwete wakiamua,Kikwete hakuandikiwa ataongoza nchi hii miaka kumi hata kama watu hawamtaki,watu wafunguke akili na wajue tunaelekea wapi kwa sasa.
 
Mimi nipo uk kitu kidogo hapa utamsikia waziri mkuu ameingilia na kuongelea
mfano kuna benki imepata hasara ya rbs na mkurugenzi wake analipwa pensio kubwa...
Nina imani hata viongozi wa nchi nyingine ngambo ni hivyo hivyo...

Sasa huyu rais wetu kukaa kimya swala la dowans maana yake ni nini?
Na nikawaida yake anasubiri weeeeeee
hata ma albino walikuwa wanauliwa mmoja mmoja na yeye akawa kimya mpaka kasi ilivyopanda ndio anajidai mkali

hapa hatuna rais

Mkuu Heshima mbele, unasema hutana raisi kwa kigezo cha watu kulipwa pension zao ama kwa sababu hajaingilia kazi za Bunge na Mahakama. Da jamani ina maana basi kusingekuwa na watendaji wengine basi kama kila kitu Rais
 
Back
Top Bottom