mkigoma. Lipumba siasa haziwezi,arudi ktk taaluma akafundishe uchumi. Ameshindwa kuongoza chama chake tu,itakuaje kwa nchi?jadilini sifa msijadili mtu, hili ndilo tatizo la wachangiaji wengi wa jamii forum wanasukumwa na itikadi za vyama vyao na itikadi ya kidini, kwa kuwa Lipumba ni muislam basi unampotezea kwa sababu ya dini yake? huo umbumbumbu katika siasa zetu za Tanzania.