sio kila anayegombea urais ana sifa kuna wengine wanatafuta kuweka kumbukumbu katika maisha na wengine ni kuleta vurugu nawaomba wanainchi tuwe macho vinginevyo tutakuja kulia na kusaga meno kwa kufuata ushabiki wa vyama, na kusukumwa na utashi wa kiimani katika kumchagua kiongozi wa nchi yetu, lakini mgombea mwenye sif upande wa upinzani ni mmoja naye ni Prof Lipumba, wengine ni mavuvuzela.