Huyu ndiye mtoto wa kwanza wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

Tafadhalini wakuu mpeni muda ameenda maktaba kubundi....maswali magumu si kama alivyotarajia..duh!
 
Naomba nijue uhalisia wa mtu atumiaye jina la huyu first Born wa Mwl Julius, ambaye ni Andrew Nyerere; Je ni yeye kweli mhusika? kama sivyo kwanini atumie jina hilo?
Na kama ni yeye kweli iweje upotoshaji uliouona wewe mhusika huyu hakuja kuukanusha kwa mapana haya hapo awali au naye haujui vyema Ukoo wao?
 
Hivi ni kweli kabla ya uhuru Mwl Nyerere alikwenda Bagamoyo kuombewa na Sheakh Ramia na waislam wengine?

Kuna tetesi alilala makaburini uko Kaole je tetesi hizi ni za kweli?

Mwl Nyerere alipokuwa alipoanza kuumwa serikali ya Mkapa ili mchelewesha kumuwaisha hospital mpaka alipozidiwa na kumpeleka kwa mahsimu wake waingereza Je kuna ukweli gani kuh hili?

Hivi kwa nini kukiwa na mjdala unaomuhusu Mwl serikali inaogopa na kusema uko ni kuhatarisha usalama wa taifa nini maana ya hili?

hata kama alilala makaburini kwa ajili ya kupigania uhuru tulionao leo c vbaya hiyo ilikuwa ni sehemu ya mila zetu waafrika kufanya matambiko ktk mizimu ya mababu, Pia wakati anakwenda hospitali Mwalimu alikuwa hajazidiwa kivile
 
Hivi ni kweli kabla ya uhuru Mwl Nyerere alikwenda Bagamoyo kuombewa na Sheakh Ramia na waislam wengine?

Kuna tetesi alilala makaburini uko Kaole je tetesi hizi ni za kweli?

Mwl Nyerere alipokuwa alipoanza kuumwa serikali ya Mkapa ili mchelewesha kumuwaisha hospital mpaka alipozidiwa na kumpeleka kwa mahsimu wake waingereza Je kuna ukweli gani kuh hili?

Hivi kwa nini kukiwa na mjdala unaomuhusu Mwl serikali inaogopa na kusema uko ni kuhatarisha usalama wa taifa nini maana ya hili?

Sidhani kama serikali ya Mkapa ilichelewa, ninachoamini ni kuwa mwisho wa Mwl. Nyerere ulishafika, kila mwanadamu anasiku yake ya kufa, ule ndiyo ulikuwa mwisho wake. Hakuna sababu ya kuhoji kifo cha mwanadamu! Mwalimu alikuwa Mwanadamu!
 
Ndugu zangu, nimeona mjadala mkali unaomhusu Andrew Nyerere. Wapo wanaomkejeli kwa jina lake, na wengine wanamzushia tu mambo. Nimeona nieleze haya machache. Andrew Nyerere ndiye first born wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Burito. Jina lake la kuzaliwa ni Burito. Burito ni babu yake Mwalimu Julius Nyerere. Andrew ana wadogo zake. Mtiririko wao wa kuzaliwa ni Anna Watiku, Emil Magige, John-Guido Nyerere, Charles Makongoro, Godfrey Madaraka, Rosemary na Pauleta.
Nimeona nitoe elimu hii fupi nikiamini kuwa katika JF suala la kuelimishana limepewa umuhimu mkubwa. Kama lipo swali, nawakaribisha. Asanteni sana.

inatusaidia nini kuwajua hawa ? je kuwafahamu kwa mtiririko kunamwondoleaje ukali wa maisha mtanzania.so far bado wanatumia rambirambi walizopewa
 
mkuu mwitongo
mbona umesepa?

kwa nini J W BUTIKU ambae baba yake wiliam ni mtoto wa nje tu wa mzee burito amekuwa na sauti kubwa katika ukoo huu il hali watoto alowazaa Burito kwa halali kama Muhunda, wesigana, Nyerere wa mugalla, Jacton Nyambereka na wengineo wamefunikwa na hata pale Nyerere Foundation Kajaza wazinzi wenzie tuu
 
Back
Top Bottom