zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Mwalimu hajapata kuwa na mtoto wa kizungu wala wa kiafrika tofauti na wale wanaojulikana. Mwalimu alikuwa Mkatoliki wa kweli, siyo kama baba riz!!!
Mkatoliki wa kweli anakuwaje na Mkatoliki wa uongo anakuwaje? Sikujuwa kama Baba Riz ni Mkatoliki. Mtu kama Slaa ni mkatoliki wa kweli au wa uongo kwa muono wako, maana inaonesha wewe ni mtaalam wa ukatoliki.