Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Nduguze Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,268
BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA NDUGUZE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA

1702007346267.jpeg

1702007399501.jpeg

1702007444201.jpeg

1702007472502.jpeg


 
Kwamba the Muslims had a great contribution than Christian huo ni uwongo.
Sidhani kama upo sahihi kwenye mawazo yako na hakukua na haja ya kuingiza uislamu hapo.... Kumbuka uhuru nyerere alikua pwani alifanya mambo mengi na watu wa pwani ambapo dini yao ni uislamu ila hawakutanguliza itikadi zao za dini kwenye kupigania uhuru ndio maana wamechangamana wakristo waislamu hawakubaguana hiki kizazi cha much know kinakurupuka kuona picha ya kanzu basi wanawaza udini zaidi..... Unakariri vibaya sio kila muda FaizaFoxy anakua na mambo ya udini hii picha inaeleza mambo memgi sana huenda yeye aliangalia walivyokua na umoja akaona aandike vile.....
 
Nyerere mzeee wa calculation, Kuna mada ya Mshana Jr alikua anazungumzia picha katika ulimwengu wa roho, nikiangalia hapo Nyerere yupo tofauti na wenzake na kwel ni wa tofauti wenzake walifanya harakati nyingi kwa mda mrefu lkn yeye ndani ya miaka isiyozidi 7 alikamilisha kazi
Mkiambiwa Wazanaki ni Watu waliobarikiwa na Mwenyezi Mungu na wana Nguvu Maalum ya Kiutawala na Kimamlaka msiwe mnabisha sawa,?
 
Hapo alikuwa pwani, yupo na wazee wa kipwani, alipokuja huku umasaini alizungukwa na wazee waliovaa rubega, na hata hutosikia mmasai akidai attention
 
Hapo alikuwa pwani, yupo na wazee wa kipwani, alipokuja huku umasaini alizungukwa na wazee waliovaa rubega, na hata hutosikia mmasai akidai attention
Capt.
Usichukulie vibaya.

Nakusanya picha mfano wa hizo tafadhali nipatie picha ya Mwalimu akiwa Umasaini kwenye matawi ya TANU.
 
Picha tu ukiangalia hapo inaonesha j.k
Kawazidi wote upeooo

Ova
 
Back
Top Bottom