Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Mkuu hivi ulishawahi kuambiwa kuwa hoja huwa inajibiwa na hoja na si hot air?Acha story zako za kufikirika... ooh cdm nao watakuwa hvi.. mmeshafisadi vya kutosha na hiyo ipo wazi... na mjue 2015 ama zenu ama ze2... ongeleeni mambo ya msingi yenye manufaa kwa uma.. kama ondokeni 2 siyo lazima uwe humu jukwaa zpo kibao.