Huyu ndiye Matonya!

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
Tonya.png
Tonya ndani ya Manispaa ya Morogoro wikendi hii
 
kwani jamaa kaogea nini sababu hiyo sio kufulia tena tettettetet:A S-baby::bange:
 
Kwani kajifanya ana ugonjwa wa akili au? Kwa nini alalie maji machafu msaada angepewa tu bila hata kulalia hayo maji.
 
labda aliona akilala kwenye maji machafu,msaada utakuja as faster as ......! Dah,tonya! Pole sana,yote maisha!
 
Assaalaaaleeee!!!! Mbona amelala kwenye maji machafu????....

Ndugu ungekuwa unamjua hii mutu usingeuliza hilo swali...ana style nyingi sana!! sasa uliza hapo kwenye maji anakaa hivyo muda gani...pita asubuhi,pita mchana,pita jioni...yupo hivyohivyo..kudadadadadeki!! tena hapo amejipooza sana!! huwa anashindaga juani masaa 12, akina makamba wote wanamjua huyu bwana.
 
Assaalaaaleeee!!!! Mbona amelala kwenye maji machafu????....

si tu ni omba omba, bali hata akili yake ameiweka kwenye cage ya utumwa kwamba kwa kufanya hivyo ataonewa huruma matokeo yake kila mtu anamshangaa. Huyo mama anayemshangaa ni rika lake kabisa
 
kweli kila mtu kwenye fani yake anatakiwa kuwa creative ili kufikia malengo..........
 
si tu ni omba omba, bali hata akili yake ameiweka kwenye cage ya utumwa kwamba kwa kufanya hivyo ataonewa huruma matokeo yake kila mtu anamshangaa. Huyo mama anayemshangaa ni rika lake kabisa

nakubaliana na maelezo yako.. yani wanalemaa kweli. kuna mmoja alikuwa anahojia na mtangazaji mmoja wa TBC1 huko dodoma (kipindi sikikumbuki ila walikuwa wanauzungumzia kuhusu watu wa kabila flani kwa nini wengi wao ni ombaomba) basi yule mzee alikuwa anaongea huku mkono wake kaunyoosha kwa staili ya kuomba!! tulicheka sana yaelekea hata nyumbani akikaa mkono unakuwa unaomba!!
 
Mh, matonya, namuonga hapo darajani, ila nasikia ana nyumba nzuri tu na ng'ombe wengi sasa kama ni kweli, tatizo ni nini au hulka tu?
 
Back
Top Bottom