Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,880
- 4,883
Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara.
Mpaka nikajiuliza hivi manispaa hii ina viongozi kweli? Nimepita barabara za Msumi, Makabe zina hali mbaya. Sasa hyo ya Goba mpakani ukiipita mpaka nikajiuliza watu wenye gari zao huwa wanaenda gerej mara ngapi. Maana barabara ni mbovu mno.
Uliingia hukp ndani ndani kwembe huko, bonyokwa huko, Goba huko hali ni mbaya.
Nauliza tena kuna Manispaa/ Halmashauri yenye barabara mbovu kama Ubungo? Kama ipo itaje hapa