Huyu Ndio Ngeleja Mnaetegemea Atatue Tatizo la Umeme

reformer

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
387
101
Ukienda siku za wkend club 84 iliyoko Dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana muda wa kwenda kukata viono na wanafunzi wa UDOM 84. Hivi mtu kama huyu tuliyemakabidhi wizara nyeti kama hii atakaa saa ngapi na kufikri namna ya kutatua tatizo hili? Inasikitisha kumuona waziri wa wizara nyeti kama hii akiwa dancing floor anashindana na watoto wadogo kucheza kwaito na bolingo saa 8 usiku wakati nchi iko gizani. Watanzania kwa serikali hii ya akina ngeleja matatizo yetu hayatakuja kuisha.

Why do you depend on people. Don't we have thinkers who can do pro se job? I mean CCM and Tanesco failed, why waiting on the sick man to help healthy society?

Ukienda siku za wkend club 84 iliyoko Dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana muda wa kwenda kukata viono na 1. wanafunzi wa UDOM 84. Hivi mtu kama huyu 2. tuliyemakabidhi wizara nyeti kama hii atakaa saa ngapi na kufikri namna ya kutatua tatizo hili? Inasikitisha kumuona waziri wa wizara nyeti kama hii akiwa dancing floor anashindana na watoto wadogo kucheza kwaito na bolingo saa 8 usiku wakati 3. nchi iko gizani. Watanzania kwa serikali hii ya akina ngeleja matatizo yetu hayatakuja kuisha.

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

Unapo amua kuwa kiongozi maisha yako binafsi yanahusu jamii, kama hutaki kumulikwa usigombee uongozi uone kama kuna mtu atakufuatilia(labda magazeti ya udaku ya bongo).
Atleast ukiperform watu wanaweza kupima na kukuelewa lakini kama hau perform watu wanakuwa na mashaka kwamba ume elemea upande wa starehe na kushindwa kutimiza majukumu yako.

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

unasahangaa nini kwenye serikali ya kishikaji? tatizo la umeme hawaliju kama nitatizo maana wana generator majumbani kwao pia raha jipe mwenyewe ndio maana ukiangalia wizara nyingi hazina mwelekeo mzuri nje ya kusikia leo hili kesho lile tena mambo ya ajabu ajabu hata mtoto wa darasa la saba hawezi kufanya akipewa wazifa kama Ngeleja lakini kwa kutokujua yeye anachukulia ni poa tu

Bado mnamtegemea huyu jamaa kuhusu umeme sidhani kama anajali kama nyie mko gizani

Ngereja angejiuzulu tuu kuheshimu umma. Mawaziri wengi walienda pale Nishati kwa ajiri ya kuiba mikataba ya madini na sio kutatua tatizo la umeme.

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

1. jaribu kuwa mwelevu kwani hapo ujumbe ni kwamba alitakiwa kuwa occupied na mambo ya ofisi kwani anaonekana kuwa na muda mwingi sana; hivi wakati wa mitihani wanafunzi si huwa wako busiest, basi naye anatakiwa kuwa kama wanafunzi kwani ana assignment ngumu sana ambayo inataka muda wake mwingi. Kama yupo macho mpaka saa nane usiku unategemea Bungeni atafanya nini? Sleeping?

images
183940_199410123421651_100000579932347_667244_995926_n.jpg

2. Kila aliyemchagua JK ameshiriki kumpa Ngeleja wizara hiyo, pia wizara hiyo kapewa kiushikaji, pia huyu mtoa mada yawezekana ni mshikaji na mshauri wa JK kwani mwaka 2010 kwa CCM Urais ulikuwa ni suala la kifamilia!!!

3. Hapa mimi nashindwa kuelewa uwezo wako wa kupambanua mambo; hivi huo ukumbi wa disco hauna powerful standby generator? Au line inayoelekea kwenye ukumbi huo ulitakiwa kuwa na umeme kwa sababu yeye alikuwa hapo, kwani kiongozi yeyote ambaye yupo kwa maslahi yake binafsi ni rahisi kuamrisha umeme uwepo pale na kwingine kubaki giza ili aweze tu kutimiza azma zake binafsi.

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha

2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.

3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

inaonyesha umetumwa wewe si bure

Kwenye hii picha Vasco da Gama II anaonekana anafatilia mambo. Huyo Ngeleja kalala. Kwanza ni fedheha unalala mbele ya bosi wako wakati wa kazi. Hilo peke yake lingemtosha Vasco kumtimua kazi. Tatizo Vasco naye kilaza tu.

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha Wewe maisha binafsi unayajua? Pale Club84 ni nyumbami kwa ngeleja au ni mahala public?
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.Nchi tulimpa Kikwete naye kamkabidhi huyu hii wizara kwa hiyo ni sawa na sis kumkabidhi
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?Wewe humtndei haki huyu mtu ngeleja.....kwani umeme lazima utoke TANESCO kwa yeye kuruka majoka? Hata nyumbani kwake hana mgao na usiniuklize anatumia nini.........jaribu kufikiri kabla ya kutetea ujinga unless u mjinga

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

hakuna cha maisha binafsi mkuu
huyu jamaa ni mtu wa muhimu na anendesha wizara muhimu sana katika nchi yetu
tungepata mtu mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko yeye

1. Unaingilia maisha binafsi ya Ngeleja, wewe ukicheza na watoto wa shule nani anakumulika? Hili sio tatizo kwani wako wengi. Acha
2. Wewe umeshiriki kumkabidhi Ngeleja wizara, maana unasema "tuliyemkabidhi wizara nyeti". Hiyo hujui hata kapewa vipi, acha.
3. Unasema nchi iko gizani na muheshimiwa anaruka majoka! Inawezekanaje kucheza muziki katika kiza totoro?

Jipange upya na uje umshambulie vizuri waziri Ngeleja

Hivi kumbe Ngeleja uko hapa? Ulichaondika hapa kinaonyesha jinsi ulivyo mtupu ndani ya hili skul lako.Utaendeshaje wizara hata kama isingekuwa nyeti hata kidogo kwa akili hii? Sh*****z

ukienda siku za wkend club 84 iliyoko dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana muda wa kwenda kukata viono na wanafunzi wa udom 84. Hivi mtu kama huyu tuliyemakabidhi wizara nyeti kama hii atakaa saa ngapi na kufikri namna ya kutatua tatizo hili? Inasikitisha kumuona waziri wa wizara nyeti kama hii akiwa dancing floor anashindana na watoto wadogo kucheza kwaito na bolingo saa 8 usiku wakati nchi iko gizani. Watanzania kwa serikali hii ya akina ngeleja matatizo yetu hayatakuja kuisha.

kwa hiyo ukiwa kwenye matatizo ndo usipate burudani?mwacheni ajiburudishe maana kila kukicha maneno kwake,na pole kama hadi leo unawategemea tanesco wakupe mwanga nunua solar...

Ukienda siku za wkend club 84 iliyoko Dodoma kipindi cha bunge ni nadra sana kumkosa waziri ngeleja. Lkn kibaya zaidi ni kipindi hiki ambacho nchi iko kwenye crisis ya umeme waziri huyu bado ana muda wa kwenda kukata viono na wanafunzi wa UDOM 84. Hivi mtu kama huyu tuliyemakabidhi wizara nyeti kama hii atakaa saa ngapi na kufikri namna ya kutatua tatizo hili? Inasikitisha kumuona waziri wa wizara nyeti kama hii akiwa dancing floor anashindana na watoto wadogo kucheza kwaito na bolingo saa 8 usiku wakati nchi iko gizani. Watanzania kwa serikali hii ya akina ngeleja matatizo yetu hayatakuja kuisha.

Pls tembea na digital camera au simu yenye uwezo wa kupga picha then ukimkuta dancing floor mpige picha then utuwekee hapa JF ,,

I was surprised to hear the news that Ngeleja maintained his portfolio. I would rather he get a different portfolio. He has been in 6 years now. Migao inazidi.

Back
Top Bottom