Huyu mzee ananifanya nionekane chizi

Huyu mzee baada ya kutamka dau mara mbili nimeweza kupredict next atataja bei gani, yeye alikuwa anaongeza namba ili next sum iwe na zero mbili mwishoni. Ukisema milioni 550, yeye anatamka milioni 600, mtu mwingine akitamka mil 810, yeye milioni 900. Sequence yake ilikuwa almost AP.
 
Lakini tuwe wakweli, mzee huyu amejifunzia wapi kutoa ahadi hewa au kufanya manunuzi hewa, tena kwa ujasiri mkubwa? Nani role model wake? Nadhani alikuwa na lengo la kufikisha ujumbe kuwa utoaji wa ahadi hewa huvunja sana moyo wale waliotarajia hiyo ahadi pindi isipotekelezeka. Sidhani kama huyu mzee alikuwa na nia nyingine zaidi ya hiyo.
 
Kwa kweli hata mimi nimecheka sana
Kwa mwenye Bunddle ya kutosha anaweza kumwangalia hapa alivyo serious kwenye manunuzi, atakuwa sio mzima huyu jamaa

Nimecheka mpaka sio vizuri.

Wakuu naomba kuuliza maana wengine kutwa nzima ni busy sijui kinachoendelea mtaani.
Huyo tajiri ni nani hasa?
je alikuwa serious au mzinguaji tu?
pia nasikia amekamatwa na polisi, ni kwa kosa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom