Huyu Mwigulu Nchemba ni nani haswa?

Avanti

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
1,209
239
Mara baada ya kuteuliwa kwenye uongozi wa juu wa CCM akateuliwa kuongoza timu ya CCM kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga. Na kwa sasa ameanza kusikika Arumeru.

Kwa tetesi nilizonazo: Kihistoria amekuwa ni mtu anayependa sana madaraka (Km Zitto), kwani tokea akiwa sekondari (Mazengo), Chuo Kikuu UD, BOT amekuwa akijulikana kufanya kampeni za kumwingiza kwenye madaraka. Hata ubunge wake alioupata Iramba Magaharibi inasemekana alianza kampeni kabla hata ya wakati.

Tungependa kujua vizuri huyu ana nia njema kweli, kwani anaonekana kuwa "madarakamonger" zaidi ya inavyotakiwa.
 
Huyu jamaa mie nimemjua kupitia JF baada ya kuona kila Pro-Chadema JF wakimuogopa mpaka wengine wamemuanzishia thread kuwa wakitaka Chadema washinde Arumeru, wamuangalie sana huyu jamaa. sasa sijui wanamuogopa kwa kipi, kibaya zaidi mpaka viongozi wa Chadema wanamuongelea kuwa ni hatari.
 
Chadema msifanye masihara na huyu kijana,, kama ataongoza kampeni Arumeru basi hapo muandike maumivu,, lazima itakula kwenu
 
Mimi nilikuwa naye Mazengo, tukiacha propaganda za kisiasa, huyu jamaa kwanza kichwa yake ni nzima na anajua sana kujenga hoja na anajua kujieleza.

hayo mengine ya wake za watu nadhani ni mapungufu ambayo kila mwanadamu anayo ya kwake.

Kwa kuwa amekaa kwenye mambo ya kampeni za uchaguzi kuanzia shule, chuo etc, propaganda za kwenye majukwaa anazijua na ndo maana CHADEMA wanahitaji kuwa na timu makini huko Arumeru Mashariki kama wanataka kupambana na huyu jamaa.
hajawa na kashfa za ufisadi na ndio maana hata alipoteuliwa kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM hapakuwa na makelele ya kumpinga au kumchafua.

My take: Ni mtu makini sana japo chama chake ndo kinamharibia
 
Sasa kwa nini Chadema wameingiwa na hofu na huyu jamaa? Si wanao makamanda wao kina Lema, Sugu.
 
Bitabo huyu jamaa ana nyota ya pekee tofauti na mtoa maada alivyomwita, mimi nilikuwa naeiliboru nikiwa kidato cha 5 yeye cha 3 jamaa alipewa ukaka mkuu HP na kuweka historia kuwa HP wa kwanza na wapekee tokea o level.

Alitukonga nyoyo hasa baada yakutengua utaratibu wa watahiniwa kwenda EK bustan na kwenye ng'ombe na nguruwe.

Mdogo wangu alikuwa nae mazengo kama unavyosema kichwan iko njema jamaa alikuwa katibi mkuu huku darasani akikimbiza na 1 mara . In fact jamaa alitakiwa afundishe chuo kikuu
 
Ni mzinzi hasa wa wake wa makada wenzie wa CCM. Ni mtoa rushwa na 1 anayelindwa na TAKUKURU. Ni muuaji anayeua ili ajenge hoja ya kuonewa huruma. Ni wakupigwa mara moja mara itakapotokea fursa ameshikwa na tuhuma red handed. Ni kichwa kwa masaburi ambao hoja zao zimefikia ukingoni.
 
Kwa ninavyoijua CCM, huyu jamaa ndo jembe lililobaki maana hata Nape hamfikii huyu jamaa si kwa upeo wala utendaji.
Tumpe Mwigulu haki yake, sio malaika ila as a human being he is good. hay mambo ya wake za watu sio issue ya kudiscuss kwa sababu hakuna malaika duniani.
Jamaa ana kichwa safi na ni mchapa kazi. Siwapendi CCM ila huyu jamaa atawabeba sana kwenye hizi chaguzi ndogo kama wataendelea kumtumia.
1.Propaganda anaijua
2.Kipaji cha kuongea na watu anacho
3. Pesa za chama anazo na ana full backing ya mkuu wa kaya na makundi yote mawili yanamkubali.
 
Sijapata nafasi ya kuwa nae karibu inabidi nimtafute arumeru.
 
Mafisadi wakiamua Kusifiana Duh!! Ila nadhan Huyu Kijana Hana msaada wowote kwa Nchi Hii!! Ambayo mambo yanaenda Halijojo!!
 
Huyu jamaa mie nimemjua kupitia JF baada ya kuona kila Pro-Chadema JF wakimuogopa mpaka wengine wamemuanzishia thread kuwa wakitaka Chadema washinde Arumeru, wamuangalie sana huyu jamaa. sasa sijui wanamuogopa kwa kipi, kibaya zaidi mpaka viongozi wa Chadema wanamuongelea kuwa ni hatari.

Mimi ninavyomjua huyu jamaa alisimamia operesheni UCHOCHEZI UDINI huko Igunga
 
Mimi namjua kwa uchache sana, na moja ya sifa kubwa aliyonayo kwenye mambo ya siasa ni kwamba, anaiumiza kichwa safu nzima ya uongozi ya CHADEMA na wanachama wake hasa, when it comes to By Election.

Nitarudi tena.
 
Huyu jamaa mie nimemjua kupitia JF baada ya kuona kila Pro-Chadema JF wakimuogopa mpaka wengine wamemuanzishia thread kuwa wakitaka Chadema washinde Arumeru, wamuangalie sana huyu jamaa. sasa sijui wanamuogopa kwa kipi, kibaya zaidi mpaka viongozi wa Chadema wanamuongelea kuwa ni hatari.

wanamuogopa kwa kushikwa ugoni hajambo
 
Mimi namjua kwa uchache sana, na moja ya sifa kubwa aliyonayo kwenye mambo ya siasa ni kwamba, anaiumiza kichwa safu nzima ya uongozi ya CHADEMA na wanachama wake hasa, when it comes to By Election.

Nitarudi tena.

Eraah haijeni?
 
huyu jamaa kwanza kichwa yake ni nzima

Bitabo huyu jamaa ana nyota ya pekee tofauti maa alitakiwa afundishe chuo kikuu

Kwa ninavyoijua CCM, huyu jamaa ndo jembe lililobaki maana hata Nape hamfikii huyu jamaa si kwa upeo wala utendaji.
Tumpe Mwigulu haki yake, sio malaika ila as a human being he is good. hay mambo ya wake za watu sio issue ya kudiscuss kwa sababu hakuna malaika duniani.
Jamaa ana kichwa safi na ni mchapa kazi. Siwapendi CCM ila huyu jamaa atawabeba sana kwenye hizi chaguzi ndogo kama wataendelea kumtumia.
1.Propaganda anaijua
2.Kipaji cha kuongea na watu anacho
3. Pesa za chama anazo na ana full backing ya mkuu wa kaya na makundi yote mawili yanamkubali.

Majibu haya hapa chini kwa Mimibaba

]Ni mzinzi hasa wa wake wa makada wenzie wa CCM. Ni mtoa rushwa na 1 anayelindwa na TAKUKURU. Ni muuaji anayeua ili ajenge hoja ya kuonewa huruma. Ni wakupigwa mara moja mara itakapotokea fursa ameshikwa na tuhuma red handed. Ni kichwa kwa masaburi ambao hoja zao zimefikia ukingoni.[/B]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom