Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,487
- 79,861
Ni suala la mudaIla mpaka amelileta hapa maana yake ni 50/50
Ni suala la mudaIla mpaka amelileta hapa maana yake ni 50/50
Haina shida as long as huo muda wote wakati anahangaika peke yake na watoto watano na mumewe yupo na mwanamke mwengine Katavi hajajifunza kitu hayaa. She is a final decision maker ila namuona huruma sanaNakwambia hiviii..huyo mwanamke atamsamehe jamaa na atarudiana nae. Sie wanawake akili zetu tunazijua wenyewe
Kajitunza...wapiMe ni mwanaume lkn sjafurahishwa na hiki kitendo.
Huyu mama kanieleza haya yote kama mwanae kabisa akihitaji Ushauri...
Nikamwomba niwashirikishe watu wengine walio na experiences maana me sijaoa. Ili tupate mawazo mengi na mazuri akakubali.
Hivyo, nikaamua kuwaletea ninyi wakuu nikijua tutafanikiwa kumsaidia huyu mama...
Ukweli kateseka sana kwa muda wote amejitunza: hajaingia barabaran kutafta wanaume kama wengine wanavofanya.
Kawatunza wanae wote, katika maadili mazuri, maendeleo yao shuleni ni mazuri mno.
Kiufupi ni mwanamke Shupavu.
Nawashukuruni sana wote kwa msaada wenu.
Ni kweli. Lkn Mungu ni mwema humpatia mtu kinachomfaa. Wakufanana nawew unaweza kumpata lkn inahitaji Critical examination na msaada wa Mungu-- ili uspate batili akakuumizaAmina, Amina kubwa! Japo watu kama sisi huwa tuko katika risk kubwa ya kutumika.
Kwa nature ya jamii tuliyonayo Mwanamke tunamwona kama mtoto kwa mume wake. Hivyo, anaadhibiwa kwa matakwa ya mwanaume. Kitu kibaya sana.Angekuwa mwanamke ndo karudi...mgemshauri amsamehe,?
Nakubaliana naweweWakapime afya, wawekeane mikataba ya maonyo mbele ya koo zao na serkali kisha wasameheane waendelee walipoishia, bindamu hukosea binadamu hujifunza na binadamu hubadirika. Mama akaze moyo ndo dunia hii