Huyu mtoto wa kichaga kanibambikia au?...plse help!

Kaka kama mnaendana na hujaoa basi chukua jiko. Kama hutaki mke basi mtambue mtoto. Kisaikolojia utamsaidia shemeji kulea mimba kwa amani kubwa. Wanasaikolojia walio Jf wataprove ili. Kaka usimkimbie mzazi,mheshimu ndo uanze kumchunguza.
 
Back
Top Bottom