Sijawahi kuzielewa ToyotaNdinga moja matata sana.
View attachment 2907064
Pimping moja ya kijanja sanaUkiona hili usisite kutujulisha ndugu yangu
View attachment 2907190
Hauwezi kufika bila tamaa. Pia, kama hauna passion n magari hauwezi kumuelewa jamaa. Mshkaji anaijua thamani ya hilo ndinga, kuliona kunampa hamasa. Ila kwa wengine, hilo ni gari tu kama ist. Ninaamini ipo cku tu jamaa atakuja kumiliki new model ya hilo. Maana anajua thamani na pride ya kumiliki chombo brand new kama icho. Ila Wenetu wa kizimkazi, pambaneni mje kununua vits au rava4, maana kwenu gari ni gari tu.Unashindana na mademu kusifia vitu vya wanaume wenzio
Ukiwa na jina Hardlife utaishia kuona tu, badili jinaNdinga moja matata sana.
View attachment 2907064
Mkuu naona umeandika kwa hisia sana. Nilikuwa namzingua mwana tuHauwezi kufika bila tamaa. Pia, kama hauna passion n magari Hauwezi kumuelewa jamaa. Mskaji anaijua thamani ya hilo ndinga, kuliona kunampa hamasa. Ila kwa wengine, hilo ni gari tu kama ist. Ninaamini ipo cku tu jamaa atakuja kumiliki new model ya hilo. Maana anajua thamani na pride ya kumiliki chombo kama brand new kama icho. Ila Wenetu wa kizimkazi, pambaneni mje kununua vits au rava4, maana kwenu gari ni gari tu.
Ameona unaleta masihara kwenye ndoto za watuMkuu naona umeandika kwa hisia sana. Nilikuwa namzingua mwana tu
Hajiamini huyo, mimi nimemtia hasira jamaaAmeona unaleta masihara kwenye ndoto za watu
hahaha kuna jamaa mmoja nilifanya nae kazi sehemu flani miaka kidogo imeendaUnashindana na mademu kusifia vitu vya wanaume wenzio