Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

Hili nalo lakushinda mkuu, kaa nae mbali.... Tena mbali kabisa, kabla hamjaonana alikuwa aishije labdaa.... Huyo kakupendea fedha kama Huamini anza kumdanganya Uchumi wako umeyumba na hali ni mbaya kama hajakimbia!!!!
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
mchane live boya huyo mwanamke...mwambie hata wewe ukiwa nae na uchumi wako ukayumba atakukimbia kama anavyo taka kumkimbia huyo mme wake.....Mwambie aangalia ni kwa jinsi gani atamsadia mume wake awe njema kiuchumi.
 
Nimeshajaribu kumpotezea but hua anatumia weakness yangu ya huruma kwa yule mtoto wake, akiwa na tatizo haki nashindwa kujizuia nisimsaidie.
Kaa nae mbali hiyo huruma itakuponza hata ukimuoa siku ukifulia atakukimbia hafai kuwa mke, na kaonyesha Hilo kwa kumtukana kwako mumewe kisa eti hapewi huduma za kiuchumi
 
Daah wanawake hawa, yupo tayari kumsaliti mumewe kisha kapata changamoto za maisha, ushaur wa bure usithubutu kumla uyo mwanamke, maana utaandamwa na laana kubwa! Mshinde shetani bro
 
mchane live boya huyo mwanamke...mwambie hata wewe ukiwa nae na uchumi wako ukayumba atakukimbia kama anavyo taka kumkimbia huyo mme wake.....Mwambie aangalia ni kwa jinsi gani atamsadia mume wake awe njema kiuchumi.
Poa mkuu, thanks kwa ushauri
 
....yaani cku zote too much is harmful.... Umzidisha toa msaada .....taratibu unaingia au umeshaingia kuwa sehemu ya tatizo lake ....kitu ambacho nikosa kubwaaa!...ok ikitokea jamaa ake akapata kazi na kipato kikubwa kuliko ww itakuaje?.......hpo ww kata kamba najamaa cku a gundua je!... Afu kumbuka naww ndo unasababisha jamaa azid kuzaraulika maana ucpofanya ww unazan wataangamia? Jitoe ktk hatari hyo cku zote usiruhusu wala kumpa mke wa mtu nafasi ya kukuambia matatizo yake na bwana ake kinachofata baada ya hapo.... Ni hicho kinachokutokea ww sahiz ...zen itamalizia naww kuingia ktk majuto makubwa ....ndio picha kama lako dizain linavyoisha
 
Achana nae bwana yani unashindwaje kwa mfano?????????????
Kumpotezea nimejaribu ila ni msumbufu sana kwenye simu, mara nyingi huniambia shida kuhusu mtoto wake, huruma huniingia kumsaidia mtoto. Yan kuachana nae ni labda nibadili contacts kabisa
 
Umenikumbusha wale masista duu wa secondary walivyokua wanaringa ila sasa hivi mwana adabu kama nini tukikutana...anyway hapo mzee baba anataka pesa mwenyewe ameshakawambia mumewe kashindwa kumhudumia hivyo hata akija kwako iko Siku utashindwa kumhudumia atatafuta schoolmate mwingine and the apostasy goes on and on
 
kweli ndugu, nitakaza roho nitakata kamba
 
Kumpotezea nimejaribu ila ni msumbufu sana kwenye simu, mara nyingi huniambia shida kuhusu mtoto wake, huruma huniingia kumsaidia mtoto. Yan kuachana nae ni labda nibadili contacts kabisa
Block namba yake aisee kuna siku utapatwa na mazito ushindwe kurudi kuleta mrejesho
 
We mleta post hivi angekuwa mwanaume mwenzako ndo ana shida ivyo ungeweza msaidia kumpa mpa ivyo vijisenti? ?
 
Umenikumbusha wale masista duu wa secondary walivyokua wanaringa ila sasa hivi mwana adabu kama nini tukikutana...anyway hapo mzee baba anataka pesa mwenyewe ameshakawambia mumewe kashindwa kumhudumia hivyo hata akija kwako iko Siku utashindwa kumhudumia atatafuta schoolmate mwingine and the apostasy goes on and on
ni kweli kabisa
 
We mleta post hivi angekuwa mwanaume mwenzako ndo ana shida ivyo ungeweza msaidia kumpa mpa ivyo vijisenti? ?
Duh! mkuu maisha yangu watu wengi wamechangia kunisaidia mpaka nimefanikiwa kimaisha, na mimi namsaidia mtu yeyote kwa kadri ya uwezo wangu paspo kuangalia jinsia, dini wala kabila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom