Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117
Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.
Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.
Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!
Nipo njia panda ...
Nawakilisha!