Huyu mchumba wangu simuelewi

nilifuaa mawazo yenu niwe mwenye subira! Leo amesikitika ati! Alikua anasumbuliwa na malaria pia ansikitika mbona nimekua kimya hivyo!!
Sasa najiona nakua nmeshikiwa akili zangu!!
Inaniumiza kichwa jamani!!.
 
Back
Top Bottom