Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Demokrasia yetu inachakachuliwa na CCM lakini tuendelee kuipigania kwa ajili ya watoto wetu........
Ni kweli kabisa ipo tofauti mbona Chenge ni graduate wa chuo makini kabisa lakini wote tunajua mambo yake. Pale TBC wengi wa watangazaji wako biased vibaya mno sawa tu na Daily News au habari Leo. Hata Tido na Suzan Mungi waliotoka BBC nao ni wale walePasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
Kweli kabisa Chenge na Kinana wamesomea Harvard je wanayoyafanya yanaonyesha kuwa walielimika au ni watu waliokuja kutafuta vyeti ili watukomoe? Kusoma chuo chenye hadhi si hoja, hoja ni utumishi adilifu, wa kizalendo na uliotukuka.Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
Jane shirima ameolewa na nani? nauliza hivi kwasababu mara nyingi huwa naona anavaa visketi vidogo sana hasa akiwa kwenye mahojiano pale tbc...vile visuti veusi vyenye visketi vidogo..mme wake ni nani jamani tumshauri amrekebishe mkewe!
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye huyu binti kachakachuliwa. Walio karibu nae wamstue jamani kuwa Opposition imefanya tremendous job.
Hahahaa unalitambua leo kuwa Jane ni CCM damdam! Toka kipindi cha kampeni akiwa na Tuambie alitia kichefuchefu ungetamani haache kuhoji kwani alikuwa akihoji anataka majibu ya kussuport ccem mtu akiwa against tu anageuza kitabu na kuanza kushambulia. Hivyo huyu ni kada machachali wa chama hivyo usitie neno...Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye huyu binti kachakachuliwa. Walio karibu nae wamstue jamani kuwa Opposition imefanya tremendous job.
Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.
Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
Mo-Town, hii ni kweli, kuna kusoma elimu ya cheti na kuelimika. Kila siku tunakutana na magraduate wenye ku behave kama shule ya msingi, na wazee wetu ambao hawakugusa darasa, lakini thinking capacity ya kina Socrates na Plato!.
Ila huyu binti, kusema ukweli, ni professional, ana practice impartiality, objectivity na fainess and balance.
kama ni kweli alisema Wapinzani ni watu wa kupinga pinga tu.............je unaweza ku-qualify.....hichi unachosema hapa ........"ana practice impartiality, objectivity na fainess and balance........".
Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
jane is st*pid :tape: