Huyu jamaa namzimia vile anavyowapenda watu!!!!!!!!!!!!!11111111...................

Ahhhhhhhh Denna niwie radhi mamito isaragambo ya dunia iliniweka mbali kidogo na JF lakini nimerudi na kukutana hili kwangu naliita sapraaaaaaaaaaizi ama tunu, Naam Rosie mmie si mchoyo hata weye omba tu chcochote utapewa .....................ili maradi kipo ndani ya uwezo wangu mie sina shida!

I missed you guyz!
 
Nilidhani umekasirika bana karibu tupo pamoja sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom