Huyu jamaa namzimia vile anavyowapenda watu!!!!!!!!!!!!!11111111...................

Mie nna-comment hivi;
CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nchi imeanza kuoza nduguzangu . . .
 
Mie nna-comment hivi;
CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,
hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?
Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!
Nchi imeanza kuoza nduguzangu . . .

Naona kama umekosea njia vile
 
Nimeangalia kule kwake kumbe mara ya mwisho kuingia humu ni mwezi wa tano NAOMBA NIPEWE NAFASI YAKE please.

Ha ha ha ha nilishakusitukia toka mapemaaaaa halafu na wewe pia unasitahili hebu soma hapa chini

Join Date : 2nd April 2009
Posts : 2,163
Thanks 1,182Thanked 604 Times in 492 Posts


Rep Power : 27
 
Ha ha ha ha nilishakusitukia toka mapemaaaaa halafu na wewe pia unasitahili hebu soma hapa chini

Join Date : 2nd April 2009
Posts : 2,163
Thanks 1,182Thanked 604 Times in 492 Posts


Rep Power : 27
Asante, Bado hajanijibu naomba basi application yangu iwe inafikiriwa asipotokea huyu mteule.
 
Mie nna-comment hivi; CHADEMA pekee ndio itatutoa kwenye umaskini,hivi UDOM waki-graduate kila mwaka hadi 2015 wataajiriwa wapi na hii SISIEMU?Kilichopo ni full kudai haki hadi kieleweke!Nchi imeanza kuoza nduguzangu . . .
wewe wa wapi jamani!!
 
mmhh kadala uyumwiki?monili....:israel:
mhh jaman...so b shost umempenda kajamaa cz ANATOA SANA THAX?
izo thax kwako2 au kwa watu wengne?


naona raha mie...yeye anatoa thax we unatoa mapenzi bin kumpenda.....
ahh
mi sjui nimpende nan....baada ya kunipa nin?

ngoja nione...

niaje lakin mpz?salama my sisy?

Weweeeeeeeeeeeee Rose...Hebu kwenda mdogo mdogo....<18 hawatakuelewa au watashindwa kulala bure!
 
Ha ha ha ha nimemzimia sana bana thanks 8000+ halafu yeye kapewa 1000+ kha nampa salut sana huyu jamaa

Off topic: Kwanini hunipigii simu lakini wewe ukoje. Kipolo changu cha wali nakudai ujue

Mlisha kila?Nilitaka nije kudoea maana chanoga kwa mboga ya kisamvu (OT).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom