Huyu jamaa anajua ku'penatrate sijawahi ona.!!

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
IMG_8974.jpg


Lowasa akikabidhi tende kwa mashekh wa Monduli.
Picha kwa hisni ya Issa michuzi Blog.
 
Ameshasema LIWALO NA LIWE!! ni lazima 2015 achukue nchi na kampeni yake ya kutoa hongo kila kona nchini ili kununua KULA ameianza mapema kabisa, hataki kuchelewa.

IMG_8974.jpg


Lowasa akikabidhi tende kwa mashekh wa Monduli.
Picha kwa hisni ya Issa michuzi Blog.
 

hahahaha lol! umeona eeh! hata mimi nilidhani ni mdada kaanzisha hii sredi :):) kumbe ni njemba Ndibalema
Ahahahaah! mkuu hii ingekuwa kule jukwaa la wakubwa ndio ungestuka lakini huku haina haja ya kustuka kabisa kaka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unachosema ni kweli kabisa Mkuu lakini kuna wageni hapa kila siku ambao hawakawii kutundika mambo ya kikubwa popote pale :):) si unajua kuku mgeni......

Ahahahaah! mkuu hii ingekuwa kule jukwaa la wakubwa ndio ungestuka lakini huku haina haja ya kustuka kabisa kaka.
 
Hapa sioni comment ya udini au kwa kuwa ni mlo au swadaka?
 
Camouflage ingekuwa choice nzuri zaidi...
Mla vya wenzie na vyake huliwa atii!
 
Back
Top Bottom