RC Mongella: Sijawahi ona Rais anayetoa pesa nyingi kwa pamoja kama Samia. Kazi hii ina Thawabu kwa Mungu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.

Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya Wasichana Longida. Akipobgeza kazi hiyo amesema hakuna sababu ya mradi kuchelewa Kwa vile pesa ipo.

Amesema tofauti na Miaka ya huko nyuma ambako pesa zilikuwa zinakuja kidogo kidogo na kusababisha miradi kuchelewa na kuwa na mizozo Mingi ila chini ya awamu ya 6 pesa zote zinakuja inasalia nyie wenyewe kushikana uchawi.

Namnukuu" Kwa umri wangu na uzoefu Wangu Tamisemi, sijawahi ona kipandi ambapo Serikali inaleta pesa Kwa pamoja, isipokuwa awamu ya 6 ya Dr. Samia. Kazi hii Ina thawabu Kwa Mungu" Mwisho wa kunukuu.

View: https://youtu.be/XR-HW7E-z8U?si=QDnvqPg8Fyi5aLRm

My Take
Nakubaliana kabisa na RC Mongella. Mara nyingi nimesema sijawahi ona Rais aliyetekeleza miradi Mingi kama Samia. Kama Kuna mtu ana takwimu za kupinga aletwe hapa na achague sekta yeyote anayoitaka.

Wale wanamchukia Samia mnaitwa huku kuja kupinga na kuita watu chawa ila mkae mkijua chuki zenu baraka Kwa Samia.

Nawaambia tuu sio tuu Elimu ambako Rais kamimina pesa bali ni sekta zote Tanzania bila kusahau maelfu ya Ajira anazomwaga Kila siku.

View: https://www.instagram.com/p/C2wWeGFhM-L/?igsh=azQxYTNtamNkMWJz

Mungu ibariki Tanzania, Mbariki Rais Samia ili kazi iendelee.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.

Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya Wasichana Longida.Akipobgeza kazi hiyo amesema hakuna sababu ya mradi kuchelewa Kwa vile pesa ipo.

Amesema tofauti na Miaka ya huko nyuma ambako pesa zilikuwa zinakuja kidogo kidogo na kusababisha miradi kuchelewa na kuwa na mizozo Mingi ila chini ya awamu ya 6 pesa zote zinakuja inasalia nyie wenyewe kushikana uchawi.

Namnukuu" Kwa umri wangu na uzoefu Wangu Tamisemi , sijawahi ona kipandi ambapo Serikali inaleta pesa Kwa pamoja,isipokuwa awamu ya 6 ya Dr.Samia.Kazi hii Ina thawabu Kwa Mungu" Mwisho wa kunukuu.

View: https://www.instagram.com/reel/C22425Tu60c/?igsh=MXN0bGZrOXVjdGM4Nw==

My Take
Nakubaliana kabisa na RC Mongella.Mara nyingi nimesema sijawahi ona Rais aliyetekeleza miradi Mingi kama Samia.Kama Kuna mtu ana takwimu za kupinga aletwe hapa na achague sekta yeyote anayoitaka.

Wale wanamchukia Samia mnaitwa huku kuja kupinga na kuita watu chawa ila mkae mkijua chuki zenu baraka Kwa Samia.

Nawaambia tuu sio tuu Elimu ambako Rais kamimina pesa Bali ni sekta zote Tanzania bila kusahau maelfu ya Ajira anazomwaga Kila siku.

Mungu ibariki Tanzania,Mbariki Rais Samia ili kazi iendelee.

MmmmWewe Mongela mtoto wa Mama wewe naekujua mimi mtoto wa ...makongo....ukimaliza hapo unachekaaaas......kumuita mana kiazi bora liende....na wale washikaji zako ...kwenye kurauli jioni ....muogope Mungu
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Kwa hiyo Kila mtu akimsifia na kufurahia kazi ya Rais basi huyo ni ChoiceVariable au siyo? 😁😁

Kwa taarifa tuu ,hizo shule unaona anakagua Mongella zimejengwa Mikoa yoga Tzn ikiwemo Ile aliyokuwa ameshika tenda former Mwanza/Geita RC Gabriel.

Hapa ni Tunduma 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C2sNnkttjF6/?igsh=ZGwweTF1YjhiNGNq
2054132202.jpg
1965821372.jpg
1571196724.jpg
1511504046.jpg
-98455632.jpg
1049628723.jpg
545413342.jpg
1149568418.jpg
-26816999.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.

Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya Wasichana Longida.Akipobgeza kazi hiyo amesema hakuna sababu ya mradi kuchelewa Kwa vile pesa ipo.

Amesema tofauti na Miaka ya huko nyuma ambako pesa zilikuwa zinakuja kidogo kidogo na kusababisha miradi kuchelewa na kuwa na mizozo Mingi ila chini ya awamu ya 6 pesa zote zinakuja inasalia nyie wenyewe kushikana uchawi.

Namnukuu" Kwa umri wangu na uzoefu Wangu Tamisemi , sijawahi ona kipandi ambapo Serikali inaleta pesa Kwa pamoja,isipokuwa awamu ya 6 ya Dr.Samia.Kazi hii Ina thawabu Kwa Mungu" Mwisho wa kunukuu.

View: https://www.instagram.com/reel/C22425Tu60c/?igsh=MXN0bGZrOXVjdGM4Nw==

My Take
Nakubaliana kabisa na RC Mongella.Mara nyingi nimesema sijawahi ona Rais aliyetekeleza miradi Mingi kama Samia.Kama Kuna mtu ana takwimu za kupinga aletwe hapa na achague sekta yeyote anayoitaka.

Wale wanamchukia Samia mnaitwa huku kuja kupinga na kuita watu chawa ila mkae mkijua chuki zenu baraka Kwa Samia.

Nawaambia tuu sio tuu Elimu ambako Rais kamimina pesa Bali ni sekta zote Tanzania bila kusahau maelfu ya Ajira anazomwaga Kila siku.

View: https://www.instagram.com/p/C2wWeGFhM-L/?igsh=azQxYTNtamNkMWJz

Mungu ibariki Tanzania,Mbariki Rais Samia ili kazi iendelee.

Hivi ni rais gani wa Tanzania aliwahi kufanya vibaya akiwa madarakani? nisaidie kumtaja, na useme na mteule wake aliyekaa jukwaani na kusema rais huyu anatuletea pesa kiduchu za ujenzi wa miradi mbalimbali.Hata ajaye naye atasifiwa mpaka anaondoka.
 
Wengi walijitahidi ila Samia ameonesha jitihada zaidi kuwapita wote.

Imagine Mwendazake ndio alionekana kuwa game changer lakini baada ya Samia nae amefanya zaidi ya Mwendazake tena Kwa mda mfuoi sana.

Mwisho sio swala la kuwa madarakani ni Suala la uhalisia na takwimu.

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1753352130168041832?t=Ym8PhdswT14ePVXVG5CvJw&s=19

View: https://twitter.com/AnnaSarungi/status/1753345223827009646?t=QFpPyC48LhwEpFAtbI163A&s=19

Rekodi ya mwisho kubwa ya Utalii ilikuwa ni watalii 1.5mln mwaka 2019 ,Sasa unaona hizo namba hapo Juu?
 
Naunga mkono hoja.
P
Pascal huyu huyu?
Ngoshaaaa!
Kwanini Miradi mikubwa ya Kimkakati isipewe hizo fedha kama zipo? Kwanini DART Mbagala imesimama, Kwanini DART Kimara hakuna Magari, KWANINI SGR kwenda Morogoro haikuanza Feb 1, 2024 kama ilivyo ahadi?
Kwanini Dar Maji hakuna?
Kwanini Umeme haupo?
Kwanini Serikali imekuwa ya Anasa, haijapata tokea Magari ya Serikali kununuliwa Ovyo kama sasa. Imagine STM iko 8790+ wakati wenzake walizikuta STL Mihura 5 ikabaki hapo hapo lkn kwa mwendo huu awamu hii itazifikidha STZ...

Kwa kifupi kinachofanywa sasa ni MIRADI TAKRIMA kuwateka watu wenye akili ndooooogo ili Uchaguzi upite kwa Vishindo. Nimtazamoooo tuuu lkn tujitazame kama Taifa kuna mahala tunafeli na hatujui tunataka nini.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amempongeza Rais wa awamu ya 6 Samia Kwa kutoa pesa nyingi kwenye miradi mbalimbali hasa Tamisemi.

Amesema hayo wakati akikagua ujenzi wa Shule Mpya ya Wasichana Longida.Akipobgeza kazi hiyo amesema hakuna sababu ya mradi kuchelewa Kwa vile pesa ipo.

Amesema tofauti na Miaka ya huko nyuma ambako pesa zilikuwa zinakuja kidogo kidogo na kusababisha miradi kuchelewa na kuwa na mizozo Mingi ila chini ya awamu ya 6 pesa zote zinakuja inasalia nyie wenyewe kushikana uchawi.

Namnukuu" Kwa umri wangu na uzoefu Wangu Tamisemi , sijawahi ona kipandi ambapo Serikali inaleta pesa Kwa pamoja,isipokuwa awamu ya 6 ya Dr.Samia.Kazi hii Ina thawabu Kwa Mungu" Mwisho wa kunukuu.

View: https://www.instagram.com/reel/C22425Tu60c/?igsh=MXN0bGZrOXVjdGM4Nw==

My Take
Nakubaliana kabisa na RC Mongella.Mara nyingi nimesema sijawahi ona Rais aliyetekeleza miradi Mingi kama Samia.Kama Kuna mtu ana takwimu za kupinga aletwe hapa na achague sekta yeyote anayoitaka.

Wale wanamchukia Samia mnaitwa huku kuja kupinga na kuita watu chawa ila mkae mkijua chuki zenu baraka Kwa Samia.

Nawaambia tuu sio tuu Elimu ambako Rais kamimina pesa Bali ni sekta zote Tanzania bila kusahau maelfu ya Ajira anazomwaga Kila siku.

View: https://www.instagram.com/p/C2wWeGFhM-L/?igsh=azQxYTNtamNkMWJz

Mungu ibariki Tanzania,Mbariki Rais Samia ili kazi iendelee.

Huyu raisi atakuwa tajiri sana
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa nishati hiyo kuanza.

Rais Samia amesema baada ya kuwashwa kinu cha kwanza, cha pili kitawashwa kabla ya Aprili 2024, hivyo kuongeza uzalishaji wa umeme.

Amesema hayo jana usiku Jumapili, Desemba 17, 2023 katika hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA). Pia amesema pamoja na jitihada nyingine uwashaji wa vinu hivyo vitakwenda kupunguza malalamiko la kukatika kwa umeme.

“Pamoja na jitihada nyingine za gesi, sola na mambo mengine, lakini katika umeme wa hydro (maji) tunategemea nadhani katikati ya mwakani malalamiko mengi yatakuwa yamepungua," amesema Rais Samia.

Pia amesema licha ya sekta ya viwanda kushuka duniani, bado Tanzania imesimama na kufanya vizuri. Kwa mujibu wa Ripoti ya Dunia ya 2024 ukuaji wa viwanda ulimwenguni umeshuka.

Amesema takwimu hizo zinaonyesha mambo mawili ambayo endapo kuna changamoto ya kushuka kwa viwanda, kuna haja ya Serikali kukaa na wenye viwanda ili kuzungumza kwa uwazi na kusema wanayoyaona na wao kupokea na kuyatekeleza.

Jambo la pili ni jitihada za Serikali, lazima kulenga katika utegemezi wa viwanda vya ndani kutumia malighafi kutoka nje na kutafuta mbadala wa malighafi hapa nchini au kuvutia uwekezaji zaidi wa malighafi inayotumika kwenye viwanda vingine.

"Nimeambiwa kuna kufanya ‘assembling’ ya magari kule Kigamboni, lakini vioo wanavyotumia vinazalishwa hapa Tanzania kule Mkuranga. Tukiwa na viwanda vingi vya namna hiyo vitatusaidia kupunguza gharama za kununua malighafi nje na kupunguza uzalishaji,"amesema Rais Samia.

Akizungumzia stempu za kielektroniki, amesema wapo kwenye mazungumzo na shirika linalotengeneza na kuna dalili kukubali kushusha gharama za stempu.

Shirika hilo ambalo limezungumziwa ni la Societe Industielle de Produits Alimentaire (SICPA) la Uswisi linaloendesha mradi wa stempu za kodi za kielektoniki.

Hata hivyo, Rais Samia amesema wanaangalia uwezekana na wameanza mazungumza na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) watumie mfumo wa kielektroni, badala ya kusumbuan
a na mtu.

MWANANCHI
 
Pascal huyu huyu?
Ngoshaaaa!
Kwanini Miradi mikubwa ya Kimkakati isipewe hizo fedha kama zipo? Kwanini DART Mbagala imesimama, Kwanini DART Kimara hakuna Magari, KWANINI SGR kwenda Morogoro haikuanza Feb 1, 2024 kama ilivyo ahadi?
Kwanini Dar Maji hakuna?
Kwanini Umeme haupo?
Kwanini Serikali imekuwa ya Anasa, haijapata tokea Magari ya Serikali kununuliwa Ovyo kama sasa. Imagine STM iko 8790+ wakati wenzake walizikuta STL Mihura 5 ikabaki hapo hapo lkn kwa mwendo huu awamu hii itazifikidha STZ...

Kwa kifupi kinachofanywa sasa ni MIRADI TAKRIMA kuwateka watu wenye akili ndooooogo ili Uchaguzi upite kwa Vishindo. Nimtazamoooo tuuu lkn tujitazame kama Taifa kuna mahala tunafeli na hatujui tunataka nini.
Acha kupayuka ndugu,kwanza hakuna mradi hata mmja umesimama na kama umesimama Kwa sasa basi ujue ni sababu ya mvua.

Kama ni mambo ya Dart inafahamu kabisa kwamba Dart ya mbagala imeisha na RC wa Dar alozindua matumizi yake

Dart ya kwenda Gongo la Mboto imeanza ,Dart ya kwenda Bagamoyo nayo imeanza.

Sasa hiyo miradi ya kusimama ni ipi? SgR inasumbua sababu mojawapo.kubwa ni wazabuni kuchelewesha delivery na sio Serikali na ndio maana Rais aliwapa TRC Hadi July iwe imeanza 👇
Screenshot_20240201-093608.jpg

Mkuu Kwanj hii miradi inajengwa mbinguni Hadi uhoji? Mfano hapo Dar Kila shule ya Sekondari Serikali inaweka mabweni inataka kufuta Day by 2025.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo Januari 2024, kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kitawashwa na kuruhusu uzalishaji wa nishati hiyo kuanza.

Rais Samia amesema baada ya kuwashwa kinu cha kwanza, cha pili kitawashwa kabla ya Aprili 2024, hivyo kuongeza uzalishaji wa umeme.

Amesema hayo jana usiku Jumapili, Desemba 17, 2023 katika hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (PMAYA). Pia amesema pamoja na jitihada nyingine uwashaji wa vinu hivyo vitakwenda kupunguza malalamiko la kukatika kwa umeme.

“Pamoja na jitihada nyingine za gesi, sola na mambo mengine, lakini katika umeme wa hydro (maji) tunategemea nadhani katikati ya mwakani malalamiko mengi yatakuwa yamepungua," amesema Rais Samia.

Pia amesema licha ya sekta ya viwanda kushuka duniani, bado Tanzania imesimama na kufanya vizuri. Kwa mujibu wa Ripoti ya Dunia ya 2024 ukuaji wa viwanda ulimwenguni umeshuka.

Amesema takwimu hizo zinaonyesha mambo mawili ambayo endapo kuna changamoto ya kushuka kwa viwanda, kuna haja ya Serikali kukaa na wenye viwanda ili kuzungumza kwa uwazi na kusema wanayoyaona na wao kupokea na kuyatekeleza.

Jambo la pili ni jitihada za Serikali, lazima kulenga katika utegemezi wa viwanda vya ndani kutumia malighafi kutoka nje na kutafuta mbadala wa malighafi hapa nchini au kuvutia uwekezaji zaidi wa malighafi inayotumika kwenye viwanda vingine.

"Nimeambiwa kuna kufanya ‘assembling’ ya magari kule Kigamboni, lakini vioo wanavyotumia vinazalishwa hapa Tanzania kule Mkuranga. Tukiwa na viwanda vingi vya namna hiyo vitatusaidia kupunguza gharama za kununua malighafi nje na kupunguza uzalishaji,"amesema Rais Samia.

Akizungumzia stempu za kielektroniki, amesema wapo kwenye mazungumzo na shirika linalotengeneza na kuna dalili kukubali kushusha gharama za stempu.

Shirika hilo ambalo limezungumziwa ni la Societe Industielle de Produits Alimentaire (SICPA) la Uswisi linaloendesha mradi wa stempu za kodi za kielektoniki.

Hata hivyo, Rais Samia amesema wanaangalia uwezekana na wameanza mazungumza na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) watumie mfumo wa kielektroni, badala ya kusumbuan
a na mtu.

MWANANCHI
Kuna matumaini na uhalisia.Mfano kama mashine zilizoagizwa zimechelewa kufikia unategemea deadline itafikiwa? Kwani hujui saizi meli zinazingua huko Kwa Wa Houth ?

Externalities zinaweza kusababisha deadline isifike but jibu la Tanesco na Wizara hili hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C2zJcyMN2zf/?igsh=MXgxaDM2Znp4a241eg==
 
[IMG alt="MSAGA SUMU"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/291/291695.jpg?1508138977[/IMG]
---
After multiple delays, services on the Dar es Salaam-Morogoro section of the Standard Gauge Railway (SGR) are currently expected to begin at the end of January 2024.

This was stated recently by Transport minister Prof Makame Mbarawa on his visit to see the SGR test runs.

The experiments were carried out to see whether the electric train could efficiently run at a speed of 160 km/h.

After the tests, Prof Mbarawa said he was satisfied with the efficiency of the engines for the electric SGR engines.

The tested engine was one of 17 similar engines purchased by the government from South Korea for a total of Sh254 billion.

He stated that the government will perform a second test in which the engine will be attached to the locomotives, allowing SGR to operate from Dar es Salaam to Morogoro.

The SGR will connect Tanzania from the Indian Ocean port of Dar es Salaam to the Lake Victoria port of Mwanza, and then to the neighbouring countries of Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo (DRC).

The country is constructing a total length of 2,102 km of SGR, linking it to neighbouring Burundi, Rwanda and the Democratic Republic of the Congo, thus making the East African country a regional business and transportation hub.

For a while, several promises of its commencement had been made, but they were not implemented.

On November 19, 2020, Prime Minister Kassim Majaliwa visited the SGR Morogoro project and expressed satisfaction with the construction development of the section.

By then, the construction had reached 90 percent, and he promised Wananachi that the maiden trip would commence in April 2021.

On March 15, 2021, the former minister for Construction and Transport, Mr Leonard Chamuriho, also announced in Morogoro that the SGR train would start operating in August of the aforementioned year.

In April 2022, TRC director general Masanja Kadogosa said Dar es Salaam-Morogoro Phase I of SGR will start operations at the end of May 2022.

Speaking during a meeting of seven members of the Central Transport Union (CCTTFA), Prof Mbarawa said that the services would officially commence at the end of January.

“The interesting thing is that, at the end of January 2024, we will officially start using SGR transport from Dar es Salaam to Morogoro for passengers, not cargo,” he said.

Land Transport Regulatory Authority (Latra) Fahamuel Mnkeni told The Citizen on December 14, 2023, that they are currently working on various issues before coming up with realistic fares.

“By the end of January 2024, we will be able to announce the SGR fares; we are only waiting for a few clarifications from Tanzania Railways Corporation (TRC) and Tanzania Electronic Supply Company Limited (Tanesco) on how the two will be paying each other on the issues of electricity,” he said.

Mr Mnkeni explained that the issue of SGR has a process because train engines use electricity to operate; therefore, it is a must for Latra to know the operation cost of a train engine to enable them to set fares, provide better services and look at the competition.

“All these are some of the technical issues that TRC is working on; in a nutshell, we are working on the final touches.

The government will ensure wananchi are offered better services at an affordable cost,” he said. In December 2022, TRC proposed a fare of Sh24,794 for children and Sh59,494 for adults to travel between Dar es Salaam and Dodoma on SGR trains.

The rates were vehemently opposed by consumers during a meeting that was convened by Latra in December last year. By then, Latra Consumer Consultative Council (CCC) acting executive secretary Leo Ngowi said TRC should come up with reasonable fares so that SGR does not turn into a “white elephant.”

The TRC director general told The Citizen in October 2023 that though setting the fares was a task for Latra, a lot of things have been conducted on the infrastructure and equipment acquisition.

“It is Latra that is setting fares, but on our side, several issues have been finalised.

For instance, when you visit a Tanzanite station, there is a control centre. Some equipment has been installed to enable communication, give signals and monitor the train while it is moving,” he said.

A resident of Boko, Mr Zuberi Shamte, told The Citizen that it is good news to hear that SGR from Dar es Salaam to Morogoro will start next year, but the most important thing is for wananchi to know the fares before the train starts operating so that ordinary people will be in a position to use SGR as a means of transport or not.

“The government must also assure us of the reliability of SGR, as currently the country is facing load shedding, and we also want to know how it is prepared to ensure there are no delays in case there is a power cut,” he said.

Mr Shamte, who is also a businessman, said it is important that the government expand the road network to boost the economy of the country; however, the issue of energy service affordability and reliability must be highlighted to avoid complaints from customers.

Tanzania Bus Owners Association (Taboa) secretary general Joseph Priscus said on December 19, 2023, that for them, it will be an opportunity to increase their business efficiency because railway network transport (SGR) is always expensive compared to bus transport.

“We have seen that in some of the countries with SGR, commuters still opt to use buses because they cannot afford to pay fares for the train, though it is faster,” he said. Mr Priscus also applauded the government for announcing the commencement of SGR.

“The government has reached a good stage and decided to avoid suspicion from people about when the train will exactly start operating.”

A Truck Owners Association (Tatoa) member who did not want the name to be disclosed said that the commencement of SGR will facilitate the transportation of cargo and help customers with their cargo, goods and products within a short period.

“Since we are sharing some cake, we are going to collaborate with the government to ensure that cargo that is offloaded at the Dar es Salaam port is transported by both railways and lorries.”

A source further noted: “The government has invested in and improved Dar es Salaam to attract high cargo. We are optimistic that the commencement of the railway will boost cargo transport and the economy of the country.

Source: Tanzanians count down the days before SGR services commence
 
Acha kupayuka ndugu,kwanza hakuna mradi hata mmja umesimama na kama umesimama Kwa sasa basi ujue ni sababu ya mvua.

Kama ni mambo ya Dart inafahamu kabisa kwamba Dart ya mbagala imeisha na RC wa Dar alozindua matumizi yake

Dart ya kwenda Gongo la Mboto imeanza ,Dart ya kwenda Bagamoyo nayo imeanza.

Sasa hiyo miradi ya kusimama ni ipi? SgR inasumbua sababu mojawapo.kubwa ni wazabuni kuchelewesha delivery na sio Serikali na ndio maana Rais aliwapa TRC Hadi July iwe imeanza 👇View attachment 2892589

Mkuu Kwanj hii miradi inajengwa mbinguni Hadi uhoji? Mfano hapo Dar Kila shule ya Sekondari Serikali inaweka mabweni inataka kufuta Day by 2025.
Dart ya Mbagala imezinduliwa?? mbona gari hakuna barabarani?
 
Back
Top Bottom