Huyu jamaa anaakili sawa kweli?

Ulaku Utakuua, achana Naye huyo jamaa hapendi mkewe Anataka mshirikiane matatizo.


QUOTE=Sangarara;4189623]Huyu Kijana ni fundi ujenzi, anasimamia project yangu moja ya nyumba, sasa jana nimefika home nikakuta yuko nyumbani na mke wake, eti kaja kuniaga amepata safari ya ghafla anakwenda Mwanza kuna tatizo la kifamilia kwa hiyo anaomba niwe napita nyumbani kumjulia hali mkewe hasa ukizingatia hajaacha pesa ya kutosha nyumbani.

Nikamuambia kwa nini asiende na mke wake nitamuadvance hata pesa, akanambia kinachompeleka huko ni issue ya mke wake wa kwanza (ndo najua sasa kama alikuwa na mke mwingine huko Mwanza), nikamuambia basi nampa pesa aache nyumbani sababu siwezi kuguarantee kwamba ntafika nyumbani kwake sababu niko busy sana, akang'ang'ania oooh ndugu yangu nisaidie bwana uwe unapita nyumbani si unajua mambo ya wanawake.

mke wake mwenyewe utata kweli kweli, sasa mi najiuliza kwani yeye hajui mambo ya wanaume au anataka tukosabe bure sababu namdai bado??[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom