Kwanin Mkuu?Unaroho ngumu hata jambazi tu hilo
Swissme
Utasema mengi sana Mkuuu!!Huna lolote umeona fursa tu hapo
Mkuu hata kupenda haturuhusiwi??Uhuru ukizidi ujue jela imefika karibu
Ingekua kiki ningetangaza InstagramWatu wengine bwana wanapenda kutafuta kiki kwa mtindo Huu! Kila la kheri
mkuu mimi nimempend!!Mbona wa kawaida sana mangi,au umefuata mpungu wa shua boi
huyo ni wangu atajibuAkikujibu fanya kuntag mkuu.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaUnaroho ngumu hata jambazi tu hilo
Swissme
Kwa baba yake ninaingiaje pale?Nenda kwa baba yake mkuu utampata tu