David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,685
- 5,278
ni mhitim wa a'level pcb 2012, hakufaulu vizuri alipata ssd, 2013 alirisiti chem, bios, pure math akaachana na physics alipata cde. Je kwa matokeo hayo baada ya kuachana na physics akiomba md atapata? Mwele kujua atusaidie tumpe ushaur plz maana sisi wengine sience tuliisikia tu.
jaribu st francis kile cha morogoro..mdogo wangu alikuwa na ufaulu kama huo ila yeye alikuwa na bde