Huyu dogo wanataka kusoma Medicine unamshaurije?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ni mhitim wa A'level PCB 2012, Hakufaulu vizuri alipata SSD, 2013 Alirisiti Chem, Bios, Pure Math akaachana na Physics alipata CDE. Je kwa matokeo hayo baada ya kuachana na Physics akiomba MD atapata? Mwele kujua atusaidie tumpe ushaur plz maana sisi wengine sience tuliisikia tu.
 
Kwa ufaulu huo hakuna namna ambayo atakuwa daktari mzuri wa binadamu. Mshauri asomee ualimu au udaktari wa mifugo
 
Mi naona kama vile mambo yatakua magum kwake,

Kwanini mkuu? Maana tulikua tunafuatilia ile Guide ya TCU Kuna vyuo kama KCMC wanataka mtu awe na principal pass ikiwemo ya Pure Mathematics?Kumbuka haya matokeo sio ya BRN ni ya 2013.
 
wabongo tunakalili sana Kila mtu akileta uzi humu basi utasikia md,md soon itashuka thamani tuwe wajanja wabongo tuamkeni kidogo sio lazima Md,uyo dogo akapige ualimu.
 
isome ile guidebook vizuri utaielewa kijana hapo apige ualimu wa chemistry sasa ivi shavu sana.
 
wabongo tunakalili sana Kila mtu akileta uzi humu basi utasikia md,md soon itashuka thamani tuwe wajanja wabongo tuamkeni kidogo sio lazima Md,uyo dogo akapige ualimu.
Asante mkuu ngoja nimshauri aombe Education, Mbona sisi wengine ni walimu na maisha yanateleza tu.
 
Namshauri asipopenda ualim akapige unesi tu kwan now days kuna magentelmen manes wanapiga mshahara mzuri tu , na cut of points ya unesi ni 4.5
 
Ni mhitim wa A'level PCB 2012, Hakufaulu vizuri alipata SSD, 2013 Alirisiti Chem, Bios, Pure Math akaachana na Physics alipata CDE. Je kwa matokeo hayo baada ya kuachana na Physics akiomba MD atapata? Mwele kujua atusaidie tumpe ushaur plz maana sisi wengine sience tuliisikia tu.

Huyu kijana ana vigezo vyote vya kusoma MD ila kitakachomtupa nje ni ushindani maana hawa vijana wa BRN wanafaulu sana

Kitabu cha TCU kinasema mtu mwenye 3 principal passes kwenye chemistry,biology and physics/mathematics

Sasa yeye ana CBM badala ya PCB of which ni kitu kinachokubalika

Nashauri atafute kozi nyingine nzuri asijepigwa secod round akakosa chuo kizuri,huu ushindani ni shida
 
Asante mkuu! Hata mimi niliangalia hiyo Guidebook nikaona kama ana vigezo vyote, Chuo kama KCMC,BUGANDO na KAIRUKI vigezo vyao ndo hivyo. Infact ni mdogo wangu ngoja nimpe ushauri wa wadau wa humu.Ubarikiwe mkuu.
 
Ni vizuri akajaribu kuomba asikatishwe tamaa na watu, Udactari ni wito naona dogo anao
 
aombe md , akikosa aanzie clinical officer, then baadaye anakamua hiyo md, easy
 
Back
Top Bottom