huyu demu simuelewi kabisaaa!!!

Mwana wane Joseph,

Actually all men we've been through this kind of situation na kama wapo ambao hawajkumbana na shuruba kama iyo ni wachache sana,

Kwa Ushauri wangu better back off as soon as you can, kwani dariri imeisha jionyesha yenyewe ndugu hapo sipo panapo kustahiri.

kama kweli anakupenda. kwanini awe anazungusha maelezo just think twice hapo?

sikuzote yeye anataka apigiwe simu tu haaa jamani love is both way its no just a single way ati mens ndio wa kuwapigia simu wa dada tu ulisha ona wapi iyo kama ni sheria ya mapenzi inasema ivyo muniambie mliko itoa.

Joseph kaaa chonjooooo tena 24/7 every week of the month kwa uyo dada kama wampenda jaribu kumlekebisha ikishindikana tafuta mwingine atakaye kufaaa kwa maisha yajayo
 
wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!.nikimpigia simu anapokea tunachonga freshi,appointment anakwepa mpaka umstukize alipo,nikimwita sehemu za public ambapo anajua siwezifanya kitu anakuja.
nikijaribu kukaa kuimya anabieep mpaka umpigie.last time nilimstukiza mitaa ya kwao hakuwepo na hakulala home wakati anadai ni mtoto wa geti.nikaamua kukaa kimya for 2 days.akaanza kubeep sikupokea,siku iliyofuata akanifuata kubaruani kwangu huko mbezi akidai eti kaja kunisalimu.
simuelewi kabisaa.ushauri nitashukuru.

yako macho.
kuna siku atakuja kukuambia ana mimba yako wakati hamjawahi kunjunji hata mara moja
 
wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!.nikimpigia simu anapokea tunachonga freshi,appointment anakwepa mpaka umstukize alipo,nikimwita sehemu za public ambapo anajua siwezifanya kitu anakuja.
nikijaribu kukaa kuimya anabieep mpaka umpigie.last time nilimstukiza mitaa ya kwao hakuwepo na hakulala home wakati anadai ni mtoto wa geti.nikaamua kukaa kimya for 2 days.akaanza kubeep sikupokea,siku iliyofuata akanifuata kubaruani kwangu huko mbezi akidai eti kaja kunisalimu.
simuelewi kabisaa.ushauri nitashukuru.

Nadhani wewe mdau ndo mwenye kichwa kigumu.

Huyo mdada hana tatizo lolote na tena anajaribu kuwa karibu na wewe at her own pace ila wewe ni mgumu ku-decipher na kumuelewa anachomaanisha.

Nakushauri acha pupa, na jaribu kuwa karibu naye, tumia sumaku na sio miguvu au papara, kuwa naye karibu na kuwajua rafiki zake na memba wa familia yake itakupa insight ya mambo mengi, especially kama unampenda for right reasons.

Jaribu kujua anachopenda na pia kujaribu kumuonesha unachopenda. Mpaka sasa bado hajafikia ule ukaribu unaoutaka wewe, lakini you are in her plans. Anapoku-beep anamaanisha she thinks of you, and maybe she feels you as a man.

Tuliza boli, papara zako zitamkimbiza ndege tunduni.
 
kama ni kicheche mbona pesa ninazo na haonishi khali ya kupaparikia pesa?,pili kuna siku nilimshtukiza nikaenda naye glosari moja tukapata vinyaji on the way she pay for fare.tatu nitammegaje wakati bado hakijaeleweka.mwisho mimi nimempenda kwa dhati.
Huyo mwanafunzi bana, achana nae, anakuumiza kichwa tu bure. kama angekuwa serious angekwambia kama anaku-feel au umpe muda au it is too early.
 
i last time nilimstukiza mitaa ya kwao hakuwepo na hakulala home wakati anadai ni mtoto wa geti.nikaamua kukaa kimya for 2 days.akaanza kubeep sikupokea,siku iliyofuata akanifuata kubaruani kwangu huko mbezi akidai eti kaja kunisalimu.
simuelewi kabisaa.ushauri nitashukuru.

Alilala home kwangu, huyo ni demu wangu ashaniambia kwamba kuna msela anamfuatilia sana miezi kama mitani hivi! Acha mali zangu mshkaji!!!
 
Hujawahi kupenda wewe,watu tunafuatilia mwaka mzima hakijaeleweka na tunaendelea. Moyo ukipenda kaka usifanye mchezo utaona kila anachokwambia poa tu. Usicheze bana! Wale wanaopenda hela sawa unaenda na kumega tu ila wale wa moyo sio rahisi kivile.

Huyo niliyempenda ndio nilimsarandia kwa miezi mitatu. Hakuna atakayetokea tena. Nikihitaji mapoozeo nasarandia maximum one week. Thats why I prefer Bar maids. Usicheke mkuu, wale hawana komplikesheni. Siku moja unamaliza, kesho huyo huyo anakufanyia mpango kwa rafiki yake. Hawana wivu na gharama zao ni za chini sana. Try them afu utaniambia mwenyewe.
 
Firstlady1 umenichekesha kweli kweli,hasa hiyo yenye red color,
Ila kweli jamaa atueleze kwani lengo lake ni nini hasa kwa huyo dada yawezekana ni mojawapo kati ya hayo ulio-mention hapo juu.

kasema anampenda kikweli kweli yaani hapa sipati picha :)
 
Mwana wane Joseph,

Actually all men we've been through this kind of situation na kama wapo ambao hawajkumbana na shuruba kama iyo ni wachache sana,

Kwa Ushauri wangu better back off as soon as you can, kwani dariri imeisha jionyesha yenyewe ndugu hapo sipo panapo kustahiri.

kama kweli anakupenda. kwanini awe anazungusha maelezo just think twice hapo?

sikuzote yeye anataka apigiwe simu tu haaa jamani love is both way its no just a single way ati mens ndio wa kuwapigia simu wa dada tu ulisha ona wapi iyo kama ni sheria ya mapenzi inasema ivyo muniambie mliko itoa.

Joseph kaaa chonjooooo tena 24/7 every week of the month kwa uyo dada kama wampenda jaribu kumlekebisha ikishindikana tafuta mwingine atakaye kufaaa kwa maisha yajayo

nyie mmetishika hizo siku mbili jamaa alizokuwa anamtafuta haonekani home labda binti alikuwa katika issue zake ambazo famili ilikuwa aware ...

tusiwe wepesi sana kumcharge mtu jamani
 
Mie nina hakika kabisa mdada anakuzimia,ila kindani ndani.wasiwasi wangu kuna mwezako amekutangulia kabla haujamjua,hivyo anaangalia upepo.Kama huyawezi maumivu ya mapenzi ni vizuri ukakimbia,au endelea na ushindani and time will tell.(kama sheikh yahya vile)
 
Kama watamani kumuoa take time kumfahamu mwana. Kuna mengi unapaswa kujua juu yake. Kama kweli geti kali ulimwonaje? Au yupo na nani humo getini? Sio kila aliye getini amefungiwa ndani ya geti. Watch out
 
Hii forum haifai kabisa kuleta matatizo binafsi ya kuanguka kimapenzi. Wadau wanakata nyongo yaani mpaka basi...

Joseph, huko kwenye track mzuri bana. Wewe endelea kunyuti na huyo kimwana. Mambo yatanyooka tu. Subira yavuta kheri yakhe!!
 
Back
Top Bottom