huyu demu simuelewi kabisaaa!!!

joseph1980

New Member
Aug 21, 2009
2
0
wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!.nikimpigia simu anapokea tunachonga freshi,appointment anakwepa mpaka umstukize alipo,nikimwita sehemu za public ambapo anajua siwezifanya kitu anakuja.
nikijaribu kukaa kuimya anabieep mpaka umpigie.last time nilimstukiza mitaa ya kwao hakuwepo na hakulala home wakati anadai ni mtoto wa geti.nikaamua kukaa kimya for 2 days.akaanza kubeep sikupokea,siku iliyofuata akanifuata kubaruani kwangu huko mbezi akidai eti kaja kunisalimu.
simuelewi kabisaa.ushauri nitashukuru.
 
Joseph huyo mdada mbona kama si mtu mzima au mwanafunzi maana vijitabia ulivyoainisha hapa ni vya wanafunzi ati!! Umemchunguza? maana umesema hakulala home wakati anajidai mtoto wa geti au alikuwa kwa shangazi? muulize vizuri
 
Nahisi ulifanya mapema kumweleza kuwa unampenda na anaelewa kuwa unampenda thus why anaamua kucheza na akili zako,hajakupenda kwa dhati huyo,inavyoonekana hajatulia huyo kabisa jaribu kufanya uchunguzi zaidi kuhusu tabia zake.
 
Kimeoooooooo
Ila mmege once ili kuondoa machungu na kumpotezea ili abaki kuangaika.
 
lol umenichekesha vya kutosha miezi mitano ni muda mfupi sana kumjua mtu ,mpe muda ...kwani unataka uhusiano gani kwake
1. kula tundi na kukata kona
2. Future gal
3. Unatest zali
Or??
 
Kimeoooooooo
Ila mmege once ili kuondoa machungu na kumpotezea ili abaki kuangaika.

Mmhh jamani ushauri gani huu unampa mwenzako,akimega akakuta huyo dada ana magonjwa labda ya zinaa na akaambukizwa itakuwaje? Au akimega baadaye akaja kusingiziwa mimba kumbe tayari mtu alikuwa na mimba inayotafuta baba itakuwaje? huoni kwamba jamaa atakuwa kwenye wakati mgumu kushinda sasa hivi?
 
kama ni kicheche mbona pesa ninazo na haonishi khali ya kupaparikia pesa?,pili kuna siku nilimshtukiza nikaenda naye glosari moja tukapata vinyaji on the way she pay for fare.tatu nitammegaje wakati bado hakijaeleweka.mwisho mimi nimempenda kwa dhati.
 
wadau nipeni ushauri kuna dem moja nimetokea kumzia kinoma kiasi kwamba nahisi ameshafahamu hilo.huu ni mwezi wa tano sasa tangu nifahamiane naye.nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!.nikimpigia simu anapokea tunachonga freshi,appointment anakwepa mpaka umstukize alipo,nikimwita sehemu za public ambapo anajua siwezifanya kitu anakuja.
nikijaribu kukaa kuimya anabieep mpaka umpigie.last time nilimstukiza mitaa ya kwao hakuwepo na hakulala home wakati anadai ni mtoto wa geti.nikaamua kukaa kimya for 2 days.akaanza kubeep sikupokea,siku iliyofuata akanifuata kubaruani kwangu huko mbezi akidai eti kaja kunisalimu.
simuelewi kabisaa.ushauri nitashukuru.
Hivi wakuu minimum ni siku ngapi ukimpenda demu ndo "Ukandamize" maana hapa naona hoja hapa ni "kula uroda" na sio kupendana....haya ni mawazo yangu tuu!!
 
lol umenichekesha vya kutosha miezi mitano ni muda mfupi sana kumjua mtu ,mpe muda ...kwani unataka uhusiano gani kwake
1. kula tundi na kukata kona
2. Future gal
3. Unatest zali
Or??

Firstlady1 umenichekesha kweli kweli,hasa hiyo yenye red color,
Ila kweli jamaa atueleze kwani lengo lake ni nini hasa kwa huyo dada yawezekana ni mojawapo kati ya hayo ulio-mention hapo juu.
 
lol umenichekesha vya kutosha miezi mitano ni muda mfupi sana kumjua mtu ,mpe muda ...kwani unataka uhusiano gani kwake
1. kula tundi na kukata kona
2. Future gal
3. Unatest zali
Or??

Bila hata kuuliza: Number 1: Kula tundi na kukata kona. I can swear.
 
Hivi wakuu minimum ni siku ngapi ukimpenda demu ndo "Ukandamize" maana hapa naona hoja hapa ni "kula uroda" na sio kupendana....haya ni mawazo yangu tuu!!

Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?
 
Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?

Hujawahi kupenda wewe,watu tunafuatilia mwaka mzima hakijaeleweka na tunaendelea. Moyo ukipenda kaka usifanye mchezo utaona kila anachokwambia poa tu. Usicheze bana! Wale wanaopenda hela sawa unaenda na kumega tu ila wale wa moyo sio rahisi kivile.
 
Back
Top Bottom