huyu demu simuelewi kabisaaa!!!

Nyie mnaomshauri kwamba ale uroda na kumuacha nyie ndio vichavuzi wa wanawake.
Huyo binti anakupenda ila anataka kuona msimamo wako nini haswa!! Inaweza kuchukua hata mwaka anakuzungusha tu ili aone msimamo wako. Kama ulivyosema kwamba wewe unampenda kwa dhati hivyo zidi kumpenda na kumjali maana huyo sasa anataka kuona jinsi gani unampenda na kumjali.Kama ulivyosema hapapariki na pesa zako hivyo huyo kweli ana upendo wa kweli kwako ila wewe cha msingi vumilia.
Kama una upendo wa dhati kwake na kuwa na future naye ili aje kuwa mkeo na mama wa watoto wako vumilia kijana.
 
Dah huyo demu tayari ana dume linalo mmega sasa ili umpate tembeza mkwanja naona wewe dau lako dogo hata vorcher humtumii sasa anzia kwenye vocha akibip tu we tuma buku 2 atakuja tu kwenye anga zako kisha unampeleka viwanja vya mbali huko una chance ya kummega mega huko huko hakikisha una mega sawa sawa unamzidi mwenye mali kama hata shanga jiexpress kabisa hapo utakuwa umemkuna balaa sijui kama huyo jamaa ataendelea kumzimia.
 
Unataka tumshaurije. Aondoke bila bila? Acha hizo mdada.

kwa mtahi huu ataonja matunda mangi sana mpaka aje apate hilo analohitaji ambalo liko perfect wajua hakuna alieyekamilika zaidi huwa tunarekebishana tabia tukiwa ndani
;)
 
Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?
...Chrispin, wiki?? Unaomba kazi au una madai naye yoyote?? Kwangu ndani ya three days hakijaeleweka naachana nae...kwani nini anisumbue kwa jambo linalotuburudisha sote??? Kila mtu abaki na kifaa chake!!
 
...Chrispin, wiki?? Unaomba kazi au una madai naye yoyote?? Kwangu ndani ya three days hakijaeleweka naachana nae...kwani nini anisumbue kwa jambo linalotuburudisha sote??? Kila mtu abaki na kifaa chake!!

Mkuu ntajirekebisha. Ntajitahidi kufuata nyayo zako.
 
Mhhh wadau mnapenda vitu vya rahisi sio mchezo...........Inabidi demu akupe mda kwanza maana ninachojua ni kwamba wengine hawapendi kuchezewa so inabidi tuwa treat kama wanavyotaka wenyewe.........
 
mademu siku hizi vicheche wengi na imekua ngumu sana kumpata wa ukweli. Ila ninyi mademu kama mtu kakwambia anakupebnda ndo uanze kumtest kama anakupenda kweli au hakupendi? je akikimbia unaanza kum fuata, ninyi wenyewe manajijua muda wenu wa kuolewa ni mfupi sana ikipita nmiaka 30 hujapa wa kkukuoa ndo mipresha mnaanza kuipandisha, mlipopendwa mlipokuwa 25 mliliringa, sasa mnataka wanaume wawafanyie kitu gani, wenzenu wana uwezo wa kuzaa hata kama ana miaka 70 ilimradi kitu kiende winga tu
 
miezi mitano si muda mrefu kama ni mtu ambaye unataka aje kuwa mtu wako maishani, kuwa anakusoma, labda ni sawa ila na wewe msome zaidi inakuaje anakwambia yupo home kisha inaonekana kama uongo!!kwa nini anakupiga chenga, kwani ni watoto nyie au!Juaneni zaidi kaba ya kufanya maamuzi zaidi!!
 
jamaa kakolea na demu katambua.....hapo ni kukuzingua tu, kaka usiwe na haraka na game. kiakili kuwa nae kawaida tu kama mshikaji lakini endelea kumchunguza...ila kama ni mwanafunzi wa sec esp o level sishangai.....
 
miezi mitano mjomba!! m2 anatia mimba mtoto anazaliwa na anaenda shule ....we mvumilivu respect!!
 
Back
Top Bottom